Usiseme bye, sidhani kama kuna namna mahakama itaweza ku determine momentum aliyoanguka nayo. Let us wait and see! if you rule out self sustained concussion, then Ku eastablish kuwa alimpiga na kitu kizito, ushahidi wa kimazingira??Soma tena sijasema haiwezekani kulewa na kuanguka.
Swala ni kuanguka kwa 'momentum' kubwa kiasi cha kupata brain concussion.
Bye.
Hongera mkuu kwa Ushuhudapamoja na yote..kale katoto ni katamu,...nimekalamba sana ..Mungu amsaidie
Mkuu, hiyo wanasheria wanaiita cross examination. Wanajaribu ku kudiscredit ushahidi wake wote alioutoa. Kwenye cross examination hua hawaulizi maswali yanayohusiana na kesi.Sawa, inawezekana muongo, lakini muongo kuhusu nini?
Inawezekana alikuwa na leseni ya bandia, akasema alikuwa na leseni, akajishtukia leseni haikuwa halali, akachomoa, akadanganya kuhusu leseni.
Hilo halimaanishi kadanganya kuhusu kuua.
Kwamba kakataa alikuwa namahusiano na Komba inawezekana anadanganya, huyu mtoto mdogo, Komba mtu mzima alikuwa na mkewe na watoto wakubwa kuliko Lulu. Sasa msichana kama Lulu akikataa ukweli kwamba alikuwa na uhusiano na jibaba inawezekana anadanganya, lakini je, kudanganya kuhusu uhusiano huo kunamaanisha kwamba yeye ni muuaji?
Ningeona contradiction ina nguvu zaidi kama ingeweza kuhusishwa moja kwamoja na kesi ya mauaji, siyo habari za kumharibia character tu. Mtu yeyote ukimuweka katika microscope utakuta mapungufu, huyu ana mchepuko, huyu hajalipa kodi, huyu anampiga mkewe, huyu mlevi mbwa, lakini, kama tunazungumzia kesi ya mauaji, kitu muhimu ni ushahidi wa kesi ya mauaji, si hizi habari nyingine. Unless zinaingia moja kwa moja katika kesi ya mauaji.
Kama Kanumba angefariki katika ajali ya gari ambalo Lulu alikuwa anaendesha, hapo habari za leseni ya Lulu ingekuwa very relevant.
Lakini haikuwa ajali ya gari, suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?
Ukimchukua mtu yeyote na kuanza kumdai risiti za nguo zake zote alizonunua katika miak 10 iliyopita, utakuta kuna nguo kibao hana risiti.
Je, hilo linatosha kusema huyu ni mkwepa kodi na hivyo anaweza kuua tu?
Mahakamani daktari hua wanaeleza jinsi mtu navyoweza kupata brain concussion (kugongesha kichwa, kwa kuanguka au kugongwa na kitu kizito). Hata daktari hajui momentum kiasi gani inatakiwa, ispokua tu ni momentum inayoweza kusababisha tatzo. Sio lazima awe alisukumwa, na pia sio lazima kwamba awe alianguka mwenyewe. Ndo mana Lulu anapoeleza anasema HAKUMSUKUMA, KANUMBA ALIANGUKA MWENYEWE. Na Lulu anaongeza kwamba wakati anaanguka wala hakumuona ila ALISIKIA KISHINDO TU kwakua yeye alikua bafuni kajifungia ili asipigwe! Baada ya yule mtu mwingine kuja, ndipo lulu alitoka bafuni na kujua kwamba kumbe kile kishindo jamaa alianguka.Sijui.
Hivi hujawah kujikwaa ukaanguka?au kutereza mwenyewe ukiwa umelewa?Uliangukia kichwa hopelesly?Uliumia?
Am sorry nilisahau kanumba alikuwa mzito sana na kichwa kikubwa.
Kama mtu aliweza hadi kumkimbiza kama anavyodai, sidhani kama ingewezekana kuanguka na kupelekea kifo.Soma tena sijasema haiwezekani kulewa na kuanguka.
Swala ni kuanguka kwa 'momentum' kubwa kiasi cha kupata brain concussion.
Bye.
Atapewa benefit of dought,mahakama ikishindwa kurebut ita presume kwa hyo atapewa benefit of dought.Umenipata mkuu?Huo ukali umewahi kuushuhudia au umesikiliza tu maneno ya kujitetea?
Yani mama Kanumba kilichobaki angegeukia 'natural justice' kwa babu akavunje chungu kama kweli binti ana hatia au la.Mambo ya mahakama hayo haki ni kwa yule anayejipanga vema.Kama mtu aliweza hadi kumkimbiza kama anavyodai, sidhani kama ingewezekana kuanguka na kupelekea kifo.
Anasema, marehemu alianguka mwenyewe na kujigonga, alikuwa anatapatapa.. Mara tena anasema alimkuta akahisi anajifanyisha..
Hapa kuna kitu!
Mkuu una uhakika kama.alimuua kanumbaAnajitetea ili kuepuka kifungo, ila dhamira inamshitaki for what she did for Kanumba. [HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR KANUMBA.
Uko sahihi, lakini jaji/hakimu anaweza wakati wowote akamodifai, akafuta au akabadilisha swali. Nafikiri ndo iko ivo mkuuMkuu, hiyo wanasheria wanaiita cross examination. Wanajaribu ku kudiscredit ushahidi wake wote alioutoa. Kwenye cross examination hua hawaulizi maswali yanayohusiana na kesi.
Nilitegemea maswali kama hayo kuulizwa na waendesha mashitaka wa serikali na sio hakimu au jaji.
Hii itawastua waendesha mashitaka wa serikali, hakimu kawapa point ya kupiga. Watammaliza.
Mkuu unasema kweli?Huyu anaenda jela..
Sheria ni msumeno, inakata kote kote ndugu!Swala la kuendesha gari bila ya kuwa na leseni au kuwa na leseni feki haina uhusiano na kesi anayokabiliwa ya mauaji unless Lulu angekua anaendasha gari uku kampakia kanumba alafu wakapata ajari kanumba akafa hapo sawa
Ndio ukweli huo, maana hawa wa serikali wakizembea wanashindwa!Yani mama Kanumba kilichobaki angegeukia 'natural justice' kwa babu akavunje chungu kama kweli binti ana hatia au la.Mambo ya mahakama hayo haki ni kwa yule anayejipanga vema.
alivaa taulo huenda alitoka bafuni miguu majimaji na ile kikimbiza ili hali uko na nyege aisee utapiga mweleka na kuamkia ahera siku ya kiama kama alivyofanya marehemu bado anaserereka huko ahera akisubiri parapanda!Kama mtu aliweza hadi kumkimbiza kama anavyodai, sidhani kama ingewezekana kuanguka na kupelekea kifo.
Anasema, marehemu alianguka mwenyewe na kujigonga kwa nguvu, alikuwa anatapatapa.. Mara tena anasema alimkuta akahisi anajifanyisha..
Hapa kuna kitu!
Huwa vitamu ila ovaaa kwani papuchi zao huwa zinachaji sanaaaTuachage kuvilala vitoto jamani, vinaleta laana...loh!
Hahaaaa ndo hivo mkuu hawo ndo wabongoHalafu utashangaa kesho analalamika katizo la umeme mbagala
Isipokuwa Mimi tu!Kila mtu mwanasheria humu duh