KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Maswali kutoka kwa wakili wa serikali

=> Wakili wa Serikali = Wewe na Kanumba mlianza mahusiano kwa muda gani?
= "KWA MIEZI MINNE" - Lulu

=> Wakili wa Serikali "Inamaana Kanumba alikukimbiza na taulo mpk nje halikuanguka?"
= Jibu "NDIO ALINIKIMBIZA AKIWA PEKU NA TAULO" - Lulu

Naona yule wakili wa Serikali Kesi ya Petrorious(SA) anafaa hapa!
 
1.jpg
 
Mkuu, hiyo wanasheria wanaiita cross examination. Wanajaribu ku kudiscredit ushahidi wake wote alioutoa. Kwenye cross examination hua hawaulizi maswali yanayohusiana na kesi.

Nilitegemea maswali kama hayo kuulizwa na waendesha mashitaka wa serikali na sio hakimu au jaji.

Hii itawastua waendesha mashitaka wa serikali, hakimu kawapa point ya kupiga. Watammaliza.

Kama ni hivyo, wanampa grounds za ku appeal kwamba hakimu alikuwa biased kwa kuanza kuuliza maswali ya waendesha mashitaka.
 
Kama namuona anavyomkimbiza na panga huku kavaa taulo! Kumbe nae alikuwa kama Jengua?! R.I.P stivini.
 
Kama sehemu ipi alipojichqnganya mkuu?
Mkuu kuna wajumbe wamekariri vitu Fulani vichwani mwao...aka..wamemezeshwa sumu Kali .na ndio matarajio yao makubwa vinginevyo watatakka uchunguzi zaidi hadi matarajio yao yatimie!!;[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom