Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 477
- 741
Yaaap hapo ndipo hata Mimi napata ukakasi kidogo...anachojaribu kukifanya Lulu ni kuepusha mazingira ambayo yatonesha aligusana na Steve...Kinachoniacha na maswali mengi ni mpenzi wako kuanguka na kuonekana kama anatapatapa halafu wewe uwashe gari na kuelekea beach..
Hapa kuna jambo!
Siku ya leo umefanya kazi ya kukuingizia kipato juu ya uzao wako?Aman iwe nanyi wapendwa
Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu
Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam
Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma
Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho
Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen
Mtanange bado unaendelea
Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano
Bado niko hapa makaman mazee
LONDON BABY
Kujichanganya sio suala LA elimu mkuu,si suala LA uongo na usahaulifu,ukiongea kwel tupu ukanyoosha maelezo ilivyokuwa hakuna sehemu utajichanganyaElimu nayo nadhani inachangia kujichanganya mara nyingi japo ata mwenye elimu pia anaweza kujichanganya ila mara chache.
Mi namuombea sana kwa MUNGU amuepushe na kifungo, kufungwa jela sio kitu kizuri kumuombea mtu. Naimani MUNGU atamsaidia na atakuja uraini kuendelea kutupa burudani kupitia kazi yake ya sanaa.
Sasa sijui safari hii atafungwa ama vipi?
Hapana, hakimu anaweza kumuuliza mtu swali lolote na wakati wowote, hakimu anaweza kukataa swali au akamodify swali wakati wowote.Kama ni hivyo, wanampa grounds za ku appeal kwamba hakimu alikuwa biased kwa kuanza kuuliza maswali ya waendesha mashitaka.
Maana yake nini sasami mkulima..nilikua fit balaa..halaf kwa mdahalo huniwezi kipindi hicho,yaani ukitaka ngumi twende ukitaka hoja twende
yaaani ni tyumbo la uchunguMpendwa tumbo la uzazi likoje
Pole sana ndo ukubwa huoyaaani ni tyumbo la uchungu
Mmmh huyu naye kaja na yakeHuyo bint afungwe tu, mana akivuka salama kesi hiyo bado ya familia ya komba nayo
That's another caseAliendeshaje gari? Alikua na leseni kwa umri huo?
Leo usikuhukumu lini?
Hakimu haruhusiwi kuuliza swali litakalomvunjia mtu haki zake za kikatiba, akifanya hivyo anaweza kusababisha mistrial.Hapana, hakimu anaweza kumuuliza mtu swali lolote na wakati wowote, hakimu anaweza kukataa swali au akamodify swali wakati wowote.
Mambo ya kisheria ya ajabu sana mkuu. Hapo hakimu hajatenda kosa lolote, sema ndio hivyo ameuliza swali litakalowapa waendesha mashitaka red light ili wao nao wapuge hapo hapo kummaliza kabisa.
Ukijichanganya tu kwenye cross examination, maelezo yako yote uliyotoa yanaweza kua discredited na ukajikuta kwenye matatizo hasa kama wewe ndie mwenye kesi, ikiwa ni shahidi basi ushahidi wake unatupiliwa mbali kabisa.
Natamani hata nikapate ka certificate ka sheria aisee. Sheria tam sana.
Hapana, hakimu anaweza kumuuliza mtu swali lolote na wakati wowote, hakimu anaweza kukataa swali au akamodify swali wakati wowote.
Mambo ya kisheria ya ajabu sana mkuu. Hapo hakimu hajatenda kosa lolote, sema ndio hivyo ameuliza swali litakalowapa waendesha mashitaka red light ili wao nao wapuge hapo hapo kummaliza kabisa.
Ukijichanganya tu kwenye cross examination, maelezo yako yote uliyotoa yanaweza kua discredited na ukajikuta kwenye matatizo hasa kama wewe ndie mwenye kesi, ikiwa ni shahidi basi ushahidi wake unatupiliwa mbali kabisa.
Natamani hata nikapate ka certificate ka sheria aisee. Sheria tam sana.
Hivi vitoto vina damu moto sio rahisi kuviachaTuachage kuvilala vitoto jamani, vinaleta laana...loh!
Nakupata mkuu.Hakimu haruhusiwi kuuliza swali litakalomvunjia mtu haki zake za kikatiba, akifanya hivyo anaweza kusababisha mistrial.
mkuu avatar inatishaWakili alikua wapi ?
Wote wahaya mama kanumba na mama yake luluMama yake Kanumba kabila gani