KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Watu wamemezeshwa sumu mkuu...si rahisi kukuelewa maana wanachokitaka wanakijua wenyewe
 
Ataangukaje mwenyewe na wakati aliweza kumfukuza nabkumzuia bi Lulu akiwa amejifunga taulo na taulo halikumdondoka.Huyu binti alposema jamaa alikuwa na tabia ya kupiga kila akilewa kajichanganya,atakjwa alijipanga.muda mrefu kumuwahi kabla hajampiga,hapo she was malicious.
 
Nafikiri angekubali kuwa walikuwa wanasukumana hivyo bahati mbaya akaanguka Kanumba,kesi ingekuwa manslaughter mwisho umri ungembeba na kuachiwa akarudi home kula bata kama kawa.
 
Pamoja na yote haya mimi nabet kwamba dogo anashinda hii kesi ya msingi,sababu kwanza alikuwa under 18 kipindi hicho na hii ilishathibitika mahakamani,pili marehemu alimshambulia lulu na alikuwa amelewa na panga kwel lilikuwepo eneo LA tukio na lulu alitibiwa majeraha ya shambulio,Tatu chumbani walikuwa wawili tu hii inafanya kusiwe na WA kupinga kauli ya lulu kuhusu kilichoendelea huko wakiwa wawili tu,nne amekana kuhusika kwa namna yoyote hata kumsukuma amesema hakumsukuma Bali marehemu alianguka mwenyewe kwa ulev na pirika zake za kutoa vichapo.dogo anashinda hii kesi Bila shida labda ubaki msala WA leseni ambao ni issue ndogo tu ukilinganisha na kesi ya msingi.hapa hata mzigo naweka WA kutosha Nina uhakika hii betting inatoa kabisa
 
Akithibitika ana hatia asondekwe tuu,waache kutafuta sifa nyiingi wakati bado wadogo,namwangalia Tunda naye asipoangalia ataishia hivi hivi.
 
Rumanyika ni wahaya na mama Kanumba ni muhaya
Hata hivyo sio ukabila bali ni taratibu za sheria tu
Km alisema aliendeshaa gari wkt anadai hakuwa na umri wa miaka 18 ambao kisheria ndio unaruhusu kuwa na leseni lzm ajichanganye
 
Lumanyika ni mhaya na mama wa Marehemu Kanumba ni Mhaya pia, kwaiyo utakuwa umepata majibu mkuu.
 
Akithibitika ana hatia asondekwe tuu,waache kutafuta sifa nyiingi wakati bado wadogo,namwangalia Tunda naye asipoangalia ataishia hivi hivi.
jaribu kumuombea mwenzio walau kikombe hiki kimwepuke...umri wake mdogo sana kiukweli kulinganisha na haya mashtaka yanayomkabili
 
hamna kesi pale,

kwani itabidi wathibitishe kamuua kivipi,kampiga makonde,ama kamnyonga au wakisema kamsukuma ,itatakiwa eye witness aliemuona lulu akimsukuma kanumba,

maelezo ya lulu yako supported na circumsitantial evidence kama kukutwa panga pembeni ya kitanda,kukutwa chupa ya pombe chumbani na kama daktari walimpima kilevi marehemu yote yatachangia kuonyesha lulu hana hatia,
kwa uzoefu wangu
 
Umeandika kiubinadamu ila sio kisheria
 
Maelezo yake yanaonyesha kabisa kuwa yanauongo kujichanganya huku ndio matatizo ya mtoto kuvamia mambo makubwa kuliko umri wako wakiambiwa wanakwambia wivu sasa umri huo unamilili wanaume wakubwa badala ya kuwa ndani unajisomea wewe uko kwa mabwana kina mama kweli ndio wa kulaumiwa kwa malezi bado huyo gigy money
 
hivi muda wotehuo yuko nje alikosa hata wanasheria wakumpa madesa ya kutema mahakamani?tatizo la huyu binti nadhani ni amekosa watu wa kumuongoza katika maisha yake,kesi kama hii anaenda kizembe zembe hivyo mahakamani,watamla kichwa shauri zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…