tejateja
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,620
- 971
Mambodaaaah maskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambodaaaah maskini
Huwa wanakatiwa mtonyo mkuu si unajua tena mjini mipangoAs always,mawakili wa serikali mapoyoyo amebaki kuuliza swala la taulo kuanguka.
Lulu keshashinda kesi.
Mapenzi ya kizungu yapoje mkuuMapenzi ya kishamba.
Hivi nini maana ya cc? Sijaelewaga hadi leo, na hiyo mahondaw unaisomaje?
Anajitetea ili kuepuka kifungo, ila dhamira inamshitaki for what she did for Kanumba. [HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR KANUMBA.
Yaani we hata uelewi kinachoendelea.....Seth Bosco ambae ni mdogo wa Kanumba anakwambia ndani walikuwa watu watatu na Lulu mwenyewe anathibitisha hivyo.Lulu kuogopa kupigwa na kanumba endapo angeanguka kunaniambia kilichosababisha Kanumba kuanguka ni kupigwa na Lulu.
Kuna rumors zilisemaga kuwa baada ya tukio alipewa lifti na Alikiba. Huweza kuta Alikiba alimpiga Kanumba na kumkimbiza Lulu.
Mimi si mtaalamu sana.
hapo Mungu hausiki sheria ndo itachukua mkondo wakejapo nilikuwa sikapendi kalulu yaani leo tumbo la uzazi limenishika haswa.EE mwenyezi Mungu naomba umsaidie huyu mtoto asifungwe.please father wewe ni mwingi wa huruma na REHEMA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamuulize bikira katolewa na nani
Shost tumuombee asee...hii ishu imemkalia vibaya!Liar yule alikua 19
Umeongea point mkuu...hii dunia hakuna mjanja aseeUsiwe mwepesi kunyoshea mwenzako kidole, hii dunia hakuna mkamilifu ndugu, ni kwa vile hapo umejificha kwenye keyboard ndio maana mapovu yanakutoka tu, ila una mengi ya gizani pengine kuliko huyo Lulu
Alafu umekazania ooooh Lulu alikua anakazwa na Komba, sasa cha ajabu nin hapo?? Lulu si wa kike? Ulitaka akazwe na ngedele bse kukazwa na Komba imekuuma sana!
Au ulitaka ukazwe wewe
Umesoma yote? Nipe muhtasari sasa...Ana na kesi ya 'kugonga' mtu nini?
Kuna sehemu anasema marehemu alimpigapiga na mapanga mapajani, maana yake kulikuwa na contact, yaani walishikana... Hapo ndipo kesi ya kujibu inapoanzia.hamna kesi pale,
kwani itabidi wathibitishe kamuua kivipi,kampiga makonde,ama kamnyonga au wakisema kamsukuma ,itatakiwa eye witness aliemuona lulu akimsukuma kanumba,
maelezo ya lulu yako supported na circumsitantial evidence kama kukutwa panga pembeni ya kitanda,kukutwa chupa ya pombe chumbani na kama daktari walimpima kilevi marehemu yote yatachangia kuonyesha lulu hana hatia,
kwa uzoefu wangu
Ninachojua ni kwamba, she's turning 25 at the end of this year!Mwaka 2011 alifanya bday part ya kuturn 18 na alishangilia ili aweze kudrive
Kwa nn asikimbilie kwao kwa mama ake eti aende kupunga upepo Coco apunguze stress mtoto Gan huyo anawaza Coco wakati anajua kuna ktu kimetokea ambacho Si cha kawaida kwake....Ulitaka aende wapi? Na Kanumba alitakiwa akalee katoto kakue ktk misingi mema ya kumcha Mungu ila yeye akawa anakakomaza na kukaraghai
Lulu is innocent
Mm sitak afungwe Ila naona utetezi wake utamfungajapo wananchi wenzangu mnashangilia huyu binti kufungwa, me niko against na nyie, ingawa hata sio fan wake,lakini namhurumia sana,jela sio sehemu nzuri kabisa,mimi niliwahi kukaa lock up masaa kadhaa tu,mpaka leo nina adabu zote...tuombe Mungu tu mahakama ionyeshe huruma zake tuendelee kuwa nae uraiani..maana kesi yenyewe imemkalia vibaya,halafu marafiki zake nao ni kama wamemtenga vile..dah!namhurumia sana kiukweli