Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 738
Mmhh isiwe kuwa Ni wale waleAiseee Mungu amsaidie, yaaan mi niliumia tuuu niliposikia Kanumba mbaba mzima anatembea na hako katoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh isiwe kuwa Ni wale waleAiseee Mungu amsaidie, yaaan mi niliumia tuuu niliposikia Kanumba mbaba mzima anatembea na hako katoto
Nyie si ndio mmemkomaza, mmemfundiasha mambo ya kwenda club, beach, na hata siku ya tukio mlitaka mumpeleke Band Ngwasuma,Kwa nn asikimbilie kwao kwa mama ake eti aende kupunga upepo Coco apunguze stress mtoto Gan huyo anawaza Coco wakati anajua kuna ktu kimetokea ambacho Si cha kawaida kwake....
AiseeIla kataishia kuwa chakula ya maafande wa gereza. After 5 years katakuwa
Na extra used papuchi yenye mileage kubwaaa
Daaah hili nalo ni kosa juu ya kosa maana ninaimani mzee wetu anaependaga kuangalia shilawadu atakuwa anaifuatilia kwakaribu sana maana nae kwakupenda umbea[emoji6]alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......
Ahaaa ngoja tusubiriAtadinywa na mibwanajela mpaka basi!
hata manji aliingia kwa kosa la madawa ya kulevya na kesi nyengine zikafata akiwa mahakamaniHilo swali sioni umuhimu wala uhusiano wake na kesi.
Kwanza sidhani kama ni swali sahihi kwa jaji kuuliza. Labda kama lingeulizwa na upande wa mashitaka.
Ni swali lililo prejudicial!
Si alitaka mwenyewe mtoto akililia tamu mpeNyie si ndio mmemkomaza, mmemfundiasha mambo ya kwenda club, beach, na hata siku ya tukio mlitaka mumpeleke Band Ngwasuma,
Kajichanganya sanaNgoja tu ale hizo mvua..
Atasemaje kuwa aliendesha gari wakati alikuwa ni under age?
Kwani kes inayomkabili huyo lulu ni kuua kwa lazima au kwa kukutokukusudiaWana kampeni ya justice for kanumba,
Ni kwel kwamba mnaamini lulu aliua kwa kukusudia ama ni hisia hasi kwa bi mdada !??coz so far hakuna anaejua nn kimetokea
Usitengemee atafungwa hiyo miaka yako 5 unayo sema, hata kama sheria itasema hivyo....Ubaya watu tunasema tu bila hata kujua sheria inasema je! Kesi ya mauaji ina hukumu moja tu.
1: Kuua kwa kukusudia hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa na
2: Kuua bila kukusudia ni kifungo cha miaka mitano jela na hakuna mbadala. Tuwe tunasoma hata penal code
Huyo unayemuuliza hilo swali ndo jaji? Au ndo mungualimuua kweli? je alikusudia?
Shidaa Uongoo utamfungaa...!!Nayajua yote hayo.
Ndiyo maana nikasemakama kweli alidanganya mambo ya leseni (kama aliendesha bila leseni au alikuwa na leseni feki), wakili mjanja angemwambia kubali kosa la leseni tuliondoe katika mjadala ili tushinde kesi ya mauaji.
Ukishindwa kesi ya mauaji, hukumu yake itafanya kesi ya leseni ifunikwe kabisa.
Wakili wa utetezianaweza kunyumbulisha kesi kwamba mteja wangu si malaika, ana makosa, kaendesha gari bila leseni, lakini kuendesha gari bila leseni si sawa na uuaji, kuna watu kibao wanaendesha magari bila leseni lakini si wauaji, mpeni kifungo au mpigeni faini ya kuendesha gari bila leseni.
Ukiwa muongo katikakuendesha gari bila leseni, unapoteza uaminifu ni kweli, lakini hilo halimaanishi kwamba uongo huounakufanya uwe muuaji.
Nyie wahaya ndo muliungana kumua msukuma wa watu siyoLumanyika ni muhaya sio msukuma Mama Lulu ni Muhaya na Mama Kanumba ni Muhaya
Ila hatakaa gerezani miaka 5.....Sidhani kama kesi ya kuua inakuwaga na fidia
Ila jamani mahakamani ni sehemu nyingine tofauti. Bora hata iwe shule ujue ukishindwa mitihani utapambana mpaka kieleweke. Sasa hiyo unajua tu ukishindwa ni mvua zakutosha unaona kabisa starehe utapishana nazo, uhuru wakufanya yako ndo basi tena..... lazima uchanganyikiwe. Ila mshahara wa dhambi jamani[emoji40] [emoji40]Katikakesikamahii, kwa umri wa Lulu, upeo wake kielimu etc ningeshangaa sana asingejichanganya hata kidogo.
In fact ingeleta picha kama kawa coached.
Kwamba amejichanganya ni kitu ambacho nimetegemea.
Aisee aiseeeeKujichanganay huko ni UTHIBITISO WA UWONGO!. MTU MWONGO SIKU ZOTE KUJICONTRADICT. ANGELIKUWA ANASEME UKWELI ANGE FLOW SAWA SAWA NA WANGELIONA HAKUNA MAHALA ANAJICHANGANYA.
KUJICHANGANYA KWAKE HASA NDICHO KINACHOTHIBITISHWA KWAMBA TAARIFA IMEANDIKWA KWENYE SCRIPT AKAFUNDISHWA KUSEMA ASIJUE KWAMBA ANAOKUTANA NAO SIYO BONGO MOVIE NI WASOMI WANAOJUA KAZI YAO.
TATIZO KUBWA LA HAKA KATOTO NI KAONGO KAONGO TU, HUWEZI KUKAAMINI KWA LOLOTE.
MFANO, KUKATAA KWAMBA HAKUWA NA UHUSIANO NA MAREHEMU KOMBA WAKATI SISI NI MASHAHIDI HATA ALIVYOKUWA AKIMFUATA HADI MBINGA KULE, NA KANAWEKWA HOTELINI TUNAFAHAMU BILA HAYA KANAKUWA NA YULE MZEE HADHARANI. LEO KANASEMA HAKAKU DATE NAYE. KASHENZI TU! UMALAYA UMEKAJAA!
Kagonga wengiAna na kesi ya 'kugonga' mtu nini?
Wewe jambazi unakijua kweli kiswahili? Unasema hawez kufungwa ila atahukumiwa kwenda jela miaka kadhaa, kuhukumiwa kwenda jela miaka kadhaa siyo kufungwa? Au ni kucheza ngoma etHawezi kufungwa huyo, atahukumiwa kwenda jela miaka kadhaa au kutoa fidia ya hela kiasi flani, kesi inaishia hapo........