MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Ukiwa na kesi mkuu jiandae sana usifikiri maswali ni kuhusu tukio tu unaweza ulizwa maswali ya kipuuzi na ukishangaa ndiyo yanakufungaKutoka kusababisha kifo hadi masuala ya leseni duuuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na kesi mkuu jiandae sana usifikiri maswali ni kuhusu tukio tu unaweza ulizwa maswali ya kipuuzi na ukishangaa ndiyo yanakufungaKutoka kusababisha kifo hadi masuala ya leseni duuuuh
Watu wamemezeshwa sumu mkuu...si rahisi kukuelewa maana wanachokitaka wanakijua wenyewejapo wananchi wenzangu mnashangilia huyu binti kufungwa, me niko against na nyie, ingawa hata sio fan wake,lakini namhurumia sana,jela sio sehemu nzuri kabisa,mimi niliwahi kukaa lock up masaa kadhaa tu,mpaka leo nina adabu zote...tuombe Mungu tu mahakama ionyeshe huruma zake tuendelee kuwa nae uraiani..maana kesi yenyewe imemkalia vibaya,halafu marafiki zake nao ni kama wamemtenga vile..dah!namhurumia sana kiukweli
Ataangukaje mwenyewe na wakati aliweza kumfukuza nabkumzuia bi Lulu akiwa amejifunga taulo na taulo halikumdondoka.Huyu binti alposema jamaa alikuwa na tabia ya kupiga kila akilewa kajichanganya,atakjwa alijipanga.muda mrefu kumuwahi kabla hajampiga,hapo she was malicious.Kwanini
huyu atakuwa anatoka ukanda wetu[emoji23] wabongo bwana, Haya tumejua upo UK Msalimie Rooney
Akithibitika ana hatia asondekwe tuu,waache kutafuta sifa nyiingi wakati bado wadogo,namwangalia Tunda naye asipoangalia ataishia hivi hivi.japo wananchi wenzangu mnashangilia huyu binti kufungwa, me niko against na nyie, ingawa hata sio fan wake,lakini namhurumia sana,jela sio sehemu nzuri kabisa,mimi niliwahi kukaa lock up masaa kadhaa tu,mpaka leo nina adabu zote...tuombe Mungu tu mahakama ionyeshe huruma zake tuendelee kuwa nae uraiani..maana kesi yenyewe imemkalia vibaya,halafu marafiki zake nao ni kama wamemtenga vile..dah!namhurumia sana kiukweli
Rumanyika ni wahaya na mama Kanumba ni muhayaAman iwe nanyi wapendwa
Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu
Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam
Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma
Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho
Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen
Mtanange bado unaendelea
Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano
Bado niko hapa makaman mazee
LONDON BABY
Samahani, naomba radhi kwa kutumia a very rude comments. I apologizeHave
Panda gari ya Bagamoyo,shuka Zinga,chukua bodaboda wambie wakupelwke Mbegan
Have pity my friend.Ni ajali tuuu ilimpata.
jaribu kumuombea mwenzio walau kikombe hiki kimwepuke...umri wake mdogo sana kiukweli kulinganisha na haya mashtaka yanayomkabiliAkithibitika ana hatia asondekwe tuu,waache kutafuta sifa nyiingi wakati bado wadogo,namwangalia Tunda naye asipoangalia ataishia hivi hivi.
[emoji1] [emoji1]Huyu binti ana nyota ya mkasi
hamna kesi pale,japo wananchi wenzangu mnashangilia huyu binti kufungwa, me niko against na nyie, ingawa hata sio fan wake,lakini namhurumia sana,jela sio sehemu nzuri kabisa,mimi niliwahi kukaa lock up masaa kadhaa tu,mpaka leo nina adabu zote...tuombe Mungu tu mahakama ionyeshe huruma zake tuendelee kuwa nae uraiani..maana kesi yenyewe imemkalia vibaya,halafu marafiki zake nao ni kama wamemtenga vile..dah!namhurumia sana kiukweli
Na yule aliyekufa siyo binadamu mwenzetu?jaribu kumuombea mwenzio walau kikombe hiki kimwepuke...umri wake mdogo sana kiukweli kulinganisha na haya mashtaka yanayomkabili
Nmesema nna hisi maana naona km explanation km hazkamilik..n hisia zng tu mkuu..ila sijui loloteIpi hiyo mkuu
Umeandika kiubinadamu ila sio kisheriaSawa, inawezekana muongo, lakini muongo kuhusu nini?
Inawezekana alikuwa na leseni ya bandia, akasema alikuwa na leseni, akajishtukia leseni haikuwa halali, akachomoa, akadanganya kuhusu leseni.
Hilo halimaanishi kadanganya kuhusu kuua.
Kwamba kakataa alikuwa namahusiano na Komba inawezekana anadanganya, huyu mtoto mdogo, Komba mtu mzima alikuwa na mkewe na watoto wakubwa kuliko Lulu. Sasa msichana kama Lulu akikataa ukweli kwamba alikuwa na uhusiano na jibaba inawezekana anadanganya, lakini je, kudanganya kuhusu uhusiano huo kunamaanisha kwamba yeye ni muuaji?
Ningeona contradiction ina nguvu zaidi kama ingeweza kuhusishwa moja kwamoja na kesi ya mauaji, siyo habari za kumharibia character tu. Mtu yeyote ukimuweka katika microscope utakuta mapungufu, huyu ana mchepuko, huyu hajalipa kodi, huyu anampiga mkewe, huyu mlevi mbwa, lakini, kama tunazungumzia kesi ya mauaji, kitu muhimu ni ushahidi wa kesi ya mauaji, si hizi habari nyingine. Unless zinaingia moja kwa moja katika kesi ya mauaji.
Kama Kanumba angefariki katika ajali ya gari ambalo Lulu alikuwa anaendesha, hapo habari za leseni ya Lulu ingekuwa very relevant.
Lakini haikuwa ajali ya gari, suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?
Ukimchukua mtu yeyote na kuanza kumdai risiti za nguo zake zote alizonunua katika miak 10 iliyopita, utakuta kuna nguo kibao hana risiti.
Je, hilo linatosha kusema huyu ni mkwepa kodi na hivyo anaweza kuua tu?