KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Sio sababu ya msingi mkuu...kumbuka kuna uwezekano wa kufanya jambo fulani kwa mara ya kwanza lakini kurudia mara ya pili ikashindikana
 
afu kinachonishangaza mashost zake wanaokulaga wote bata hawaendi hata kumpa support mwenzao...wabongo wanafiki sana
 
Wadau Kuendesha Gari Na Leseni kunadetermine age yake at that particular time.
Issue kubwa hapo itakayoleta shida ni Madai Ya Lulu Kuwa Aliamua Kumuacha Marehemu Eti Akidhani Amejifanya Amelala Hivyo Aliamua Kuondoka Akiogopa Kanumba Akiamka Atampiga Tena!
If she was attacked obviosly she had to defend her self! It is ridiculous to claim she was unable to defend herself because Kanumba was stronger than her. She again confessed of the fact that their relationship was characterized by constant conflicts!
Lastly Mahakama Imeona Kuwa Upo Ushahidi Wa Kiwango Fulani Ndio Maana Wameamua Na Kesi.
 
wayamalize tu maana kukaa na wasi wasi wa kufungwa siku moja mmmh
 
Kimzaha mzaha anaweza jikuta anahukumiwa tu miaka hata tunne Hivi Hivi.


Ila kifo kilimfikia tu kijana Yule. Haupo uwezekano wa Lulu na kimwili kile kumudu kumsuguma hadi kumungusha mtu mwenye mwili Kama ule wa marehemu. Otherwise awe kalewa.
 
Wewe unachukulia maongezi ya mahakamani kama ya mtaani. Ukionesha mahakamani umesema uongo hata ambao wewe unahisi ni mdogo, kisheria unaweza kukuathiri pakubwa. Wakili anaweza kutumia kama reference huo uongo wako mdogo kuprove kila unachokisema kina uwalakini. Uongo mdogo upo mtaani, siyo mahakamani. Wewe unafikri ni kwa nini jaji alimuuliza hilo swali mara mbili?
 
Mimi sijaelewa, mausiano ya miezi minne yenye bifu na migongano, si ange achana nae? Au kuna kitu kilicho mvutia hadi kuvumilia kupigwa?
 
suala la leseni ni kujaribu kuthibitisha kama kwa wakati huo alikuwa chini ya miaka 18 au la.kumbuka leseni wanapewa wenye miaka 18 kwenda juu !
 
Nayajua yote hayo.

Ndiyo maana nikasemakama kweli alidanganya mambo ya leseni (kama aliendesha bila leseni au alikuwa na leseni feki), wakili mjanja angemwambia kubali kosa la leseni tuliondoe katika mjadala ili tushinde kesi ya mauaji.

Ukishindwa kesi ya mauaji, hukumu yake itafanya kesi ya leseni ifunikwe kabisa.

Wakili wa utetezianaweza kunyumbulisha kesi kwamba mteja wangu si malaika, ana makosa, kaendesha gari bila leseni, lakini kuendesha gari bila leseni si sawa na uuaji, kuna watu kibao wanaendesha magari bila leseni lakini si wauaji, mpeni kifungo au mpigeni faini ya kuendesha gari bila leseni.

Ukiwa muongo katikakuendesha gari bila leseni, unapoteza uaminifu ni kweli, lakini hilo halimaanishi kwamba uongo huounakufanya uwe muuaji.
 
Wewe mtoa mada kesi ya mauaji ina dhamana kwa mujibu wa sheria za nchi? mbona unapotosha umma?
 
Hawezi kufungwa huyo, atahukumiwa kwenda jela miaka kadhaa au kutoa fidia ya hela kiasi flani, kesi inaishia hapo........
Ubaya watu tunasema tu bila hata kujua sheria inasema je! Kesi ya mauaji ina hukumu moja tu.
1: Kuua kwa kukusudia hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa na
2: Kuua bila kukusudia ni kifungo cha miaka mitano jela na hakuna mbadala. Tuwe tunasoma hata penal code
 
Hata mtoto haruhusiwi kuua.
Na marehemu hashtakiwi kwa kubaka.
 
Marehemu alikuwa mkorofi, badamu batamwagikaa
 
Mimi sijaelewa, mausiano ya miezi minne yenye bifu na migongano, si ange achana nae? Au kuna kitu kilicho mvutia hadi kuvumilia kupigwa?
Miez minne ni mda mchache sana kama kweli unampenda mtu unaweza jifariji na kuendelea na mahusiano pengine ukiategemea mabadiliko ya tabia ya mwenzio
 
Nani aliyeona akitenda tukio? Hakuna shahidi huyo, huyo mwingine kaitwa baada ya kutokea kila kitu. Hakuona akitenda, utaanzaje kumuhukumu
 
Mi nnaswali moja tu, hivi mlango ukifunguliwa kunakuwa na kishindo?[emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…