tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
tayari ni mfuNa yule aliyekufa siyo binadamu mwenzetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tayari ni mfuNa yule aliyekufa siyo binadamu mwenzetu?
Sio sababu ya msingi mkuu...kumbuka kuna uwezekano wa kufanya jambo fulani kwa mara ya kwanza lakini kurudia mara ya pili ikashindikanaAtaangukaje mwenyewe na wakati aliweza kumfukuza nabkumzuia bi Lulu akiwa amejifunga taulo na taulo halikumdondoka.Huyu binti alposema jamaa alikuwa na tabia ya kupiga kila akilewa kajichanganya,atakjwa alijipanga.muda mrefu kumuwahi kabla hajampiga,hapo she was malicious.
Kwa nini?Umeandika kiubinadamu ila sio kisheria
Wewe unachukulia maongezi ya mahakamani kama ya mtaani. Ukionesha mahakamani umesema uongo hata ambao wewe unahisi ni mdogo, kisheria unaweza kukuathiri pakubwa. Wakili anaweza kutumia kama reference huo uongo wako mdogo kuprove kila unachokisema kina uwalakini. Uongo mdogo upo mtaani, siyo mahakamani. Wewe unafikri ni kwa nini jaji alimuuliza hilo swali mara mbili?Sawa, inawezekana muongo, lakini muongo kuhusu nini?
Inawezekana alikuwa na leseni ya bandia, akasema alikuwa na leseni, akajishtukia leseni haikuwa halali, akachomoa, akadanganya kuhusu leseni.
Hilo halimaanishi kadanganya kuhusu kuua.
Kwamba kakataa alikuwa namahusiano na Komba inawezekana anadanganya, huyu mtoto mdogo, Komba mtu mzima alikuwa na mkewe na watoto wakubwa kuliko Lulu. Sasa msichana kama Lulu akikataa ukweli kwamba alikuwa na uhusiano na jibaba inawezekana anadanganya, lakini je, kudanganya kuhusu uhusiano huo kunamaanisha kwamba yeye ni muuaji?
Ningeona contradiction ina nguvu zaidi kama ingeweza kuhusishwa moja kwamoja na kesi ya mauaji, siyo habari za kumharibia character tu. Mtu yeyote ukimuweka katika microscope utakuta mapungufu, huyu ana mchepuko, huyu hajalipa kodi, huyu anampiga mkewe, huyu mlevi mbwa, lakini, kama tunazungumzia kesi ya mauaji, kitu muhimu ni ushahidi wa kesi ya mauaji, si hizi habari nyingine. Unless zinaingia moja kwa moja katika kesi ya mauaji.
Kama Kanumba angefariki katika ajali ya gari ambalo Lulu alikuwa anaendesha, hapo habari za leseni ya Lulu ingekuwa very relevant.
Lakini haikuwa ajali ya gari, suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?
Ukimchukua mtu yeyote na kuanza kumdai risiti za nguo zake zote alizonunua katika miak 10 iliyopita, utakuta kuna nguo kibao hana risiti.
Je, hilo linatosha kusema huyu ni mkwepa kodi na hivyo anaweza kuua tu?
suala la leseni ni kujaribu kuthibitisha kama kwa wakati huo alikuwa chini ya miaka 18 au la.kumbuka leseni wanapewa wenye miaka 18 kwenda juu !Pamoja na yote haya mimi nabet kwamba dogo anashinda hii kesi ya msingi,sababu kwanza alikuwa under 18 kipindi hicho na hii ilishathibitika mahakamani,pili marehemu alimshambulia lulu na alikuwa amelewa na panga kwel lilikuwepo eneo LA tukio na lulu alitibiwa majeraha ya shambulio,Tatu chumbani walikuwa wawili tu hii inafanya kusiwe na WA kupinga kauli ya lulu kuhusu kilichoendelea huko wakiwa wawili tu,nne amekana kuhusika kwa namna yoyote hata kumsukuma amesema hakumsukuma Bali marehemu alianguka mwenyewe kwa ulev na pirika zake za kutoa vichapo.dogo anashinda hii kesi Bila shida labda ubaki msala WA leseni ambao ni issue ndogo tu ukilinganisha na kesi ya msingi.hapa hata mzigo naweka WA kutosha Nina uhakika hii betting inatoa kabisa
Nayajua yote hayo.Wewe unachukulia maongezi ya mahakamani kama ya mtaani. Ukionesha mahakamani umesema uongo hata ambao wewe unahisi ni mdogo, kisheria unaweza kukuathiri pakubwa. Wakili anaweza kutumia kama reference huo uongo wako mdogo kuprove kila unachokisema kina uwalakini. Uongo mdogo upo mtaani, siyo mahakamani. Wewe unafikri ni kwa nini jaji alimuuliza hilo swali mara mbili?
Ubaya watu tunasema tu bila hata kujua sheria inasema je! Kesi ya mauaji ina hukumu moja tu.Hawezi kufungwa huyo, atahukumiwa kwenda jela miaka kadhaa au kutoa fidia ya hela kiasi flani, kesi inaishia hapo........
Hata mtoto haruhusiwi kuua.MAELEZO YA HUYU BINTI YAMENYOOKA BILA KUPINDA. KIMSINGI KANUMBA NDO ALIKUWA NA KOSA, ALIKUWA NATEMBEANA MTOTO WA CHINI YA MIAKA 18. ALIYETANGULIA KATANGULIA, NINA IMANI MAHAKAMA ITATENDA HAKI MAANA HUYU BINTI INAVYOONEKANA HAHUSIKIMOJA KWA MOJA NA KIFO CHAKE.
Waite wao mahakamani sasa ndio utachoka.....watasahau hadi ubini waoKila mtu mwanasheria humu duh
Miez minne ni mda mchache sana kama kweli unampenda mtu unaweza jifariji na kuendelea na mahusiano pengine ukiategemea mabadiliko ya tabia ya mwenzioMimi sijaelewa, mausiano ya miezi minne yenye bifu na migongano, si ange achana nae? Au kuna kitu kilicho mvutia hadi kuvumilia kupigwa?