Kweli aisee lazima wamgonge hata saba tu inatoshaLazima alambwe miaka kidogo jela isipokua hivyo basi sheria zitakua zimepindishwa
Kalikuwa ni katoto lakin saiv ni kakubwaKwanini ameshafika 18+ au??nahisi kama bado katoto sanaaa
Angesema ukweli Alikiba alimfuata wakaenda coco beach kuliwazanaAtapigwa mvua kama tano hivi mitigation factors zitamsaidia,umri wake kuwa mdogo,tabia ya ukali ya marehemu,ni kosa la kwanza na atakavyojitetea
Tutahakikisha vipi marehemu alikuwa mkali?Atapigwa mvua kama tano hivi mitigation factors zitamsaidia,umri wake kuwa mdogo,tabia ya ukali ya marehemu,ni kosa la kwanza na atakavyojitetea
Benefit of doughtTutahakikisha vipi marehemu alikuwa mkali?
Mkuu mbona kama una hasira nako ?Na uckute apo kamesema kua kalikua n lesen il kaonekane kwmb kalikua sahh kudrive gari... Bt kakastuka tena
Inawezekana ilkua fighting za kawaida za mahusiano na kanumba ila ningum kuamin km alidhamiria kilichotokea at allAnajitetea ili kuepuka kifungo, ila dhamira inamshitaki for what she did for Kanumba. [HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR KANUMBA.
alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......
Umeshauliza MAMLAKA ZA TANZANIA JINSI ZILIVYOKUWA CORRUPT THOSE DAYS..??Ngoja tu ale hizo mvua..
Atasemaje kuwa aliendesha gari wakati alikuwa ni under age?
AKIWA NA LESENI MAANA YAKE ALITENDA KOSA AKIWA NA UMRI ZAIDI YA 18!Ana na kesi ya 'kugonga' mtu nini?
.kiufupu yupo in trouble. kajipa mwenyewe troubleUmeshauliza MAMLAKA ZA TANZANIA JINSI ZILIVYOKUWA CORRUPT THOSE DAYS..??
Je kama walipewa rushwa na kuchanganyikiwa na umaarufu wa Lulu wakampa leseni..??
Je kama Kanumba mwenyewe ndiye aliyemtafutia leseni kwa nguvu zote..??
Kama kweli alikuwa under age na alikuwa na leseni, huoni kwamba mamlaka zinazohusika na utoaji leseni ndio zenye makosa hazikufanya uchunguzi wa kutosha au walikuwa corrupt..??
Kama wameamua kuhamisha magoli, basi tuanze na wao kwanza, polisi na TRA. Walitoaje leseni..??
we nae mbon mbeaaaaaaaaaa!Ok. Kumbe upo UK
nimekaonea huruma kuhusu issue ya leseni!.kiufupu yupo in trouble. kajipa mwenyewe trouble
sijui wakili wake kwa nini asimwambie na kumshauri? au labd kanajifanya kanajua kila kitunimekaonea huruma kuhusu issue ya leseni!
yani mwanzoni ilikuwa vere vere kuwa alichukuliwa na texi iliyokuwa inamsubiri nje na Kiba!
angestick kwenye ukweli tu na vile ulikuwa maana ndiko salama yake!
hiii bumba bumba story inamdididmiza zaidi
yes!sijui wakili wake kwa nini asimwambie na kumshauri? au labd kanajifanya kanajua kila kitu