KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

we nae mbon mbeaaaaaaaaaa!
ahahahahahhaha mwenzako anasemea tu tofauti ya huku na kule
ukoje lakin?
Hapana huyo jamaa kadai kwa kinywa chake kwamba yuko uk alaf jana alikuwa analalamika kupigwa na ffu ukonga mombasa
 
Maswali ya mahakamani yako very technical sana.

Unaweza kulidharau swali na kuliona halihusiani na kesi yako, kumbe linaprove mambo makubwa na linaweza kukutia ndani
 
alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......
Si aseme alitengenezewa na marehemu mpenzi wake na akamwambia asiogope atapatw shida. A establish kuwa alikuwa na akili za kitoto
 
Au 18..mi tangu nianze kumuona lulu nilikuwa primary

Tangu primary hadi hivi muda huu ni miaka mingi
Hivi joanah wewe upo kwenye, namaanisha age ya Lulu au Maimartha wa jesse?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mods iv mimi shagawakosea kitu gan kwanini mumeungamisha uzi wangu wakati uzi umekuwepo toka jana

Kwahiyo nyie kila uz unaohusiana na lulu mnaunganisha

Nishaga wakosea kitu gan?

Naomba mnambie kwanini mnaonekana kunandama sana pasipo sababu za maana

Ina maana huo uzi jana hamukuona had mnakuja kuunganisha leo ukiwa ushafikisha wachangiaji mitatu
 

Kama watasema walichanganyikiwa basi walivurugikiwa haswa...unaacha mgonjwa ndani unamkimbilia daktari umlete kwa mgonjwa?!...

Anyways, nami naamini ni msukumano or kuteleza ndio ulipelekea haya, na wala hakukua na malengo ya mauaji....acha tuone matokeo ya sheria mahakamani...
 
we lulu alivo mfupi tu sa hiz mwaka 2012 alikuwa hata anafika kwenye pa kukanyaga mafuta kweli
Mkuu kwahiyo unataka kusema tangu 2012 hadi leo amerefuka cm ngapi? si yuko vile vile kama kuongezeka ni kidogo sana tena ni cm chache tu kama sio 3 ni 4
 
Kukumbuzi,ng'ombe nk tunaowala kila siku nao watapata haki ahera?
Hao ni viumbe na waliumbwa ili tuwale sisi binadamu, tumeamrishwa kula wanyama, matunda na mimea. Na ndio maana kuna siku ya hukumu hiyo iko maalum kwa ajili ya viumbe kama binadamu lakini sio kwa viumbe kama hao kuku, mbuzi wala ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…