Kabla ya janga, alikuwa anasema she's above 18 ili kuhalalisha aliyokuwa anafanya including suala la kupigwa chini kipindi cha Watoto Wetu (ITV) kwamba tayari alishakuwa mtu mzima!!! Alipokumbwa na janga, akabadili gia angani na kusema yupo Under 18 ili kukwepa kitanzi!!!
All in all, I feel sorry for her kwa sababu naamini ile ilikuwa ni ajali!! Kwa kuangalia umbo la Kanumba na Lulu wa wakati ule, it's obvious Lulu alikuwa anajitetea kwa kumsukuma Kanumba na hapo akaenda kujibamiza ukutani!!!
Na vile vile naamini ndugu zake walimchelewesha kumpeleka hospital kwa hofu ya kuogopa scandal... huenda hawakufahamu kwamba aliumia sana vinginevyo sioni busara iliyomfanya mdogo wake Kanumba kwenda kumfuata the so called daktari wa familia badala ya kumkimbiza Kanumba hospitali moja kwa moja!!!