KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Kutoka kusababisha kifo hadi masuala ya leseni duuuuh
 
baba hujaelewa..mushkeli upo kwenye kuwasha gari..
ni gari la nani?
kama ni lake basi alikua anaendesha akiwa chini ya miaka 18?
alikua na leseni ya udereva?
 
baba hujaelewa..mushkeli upo kwenye kuwasha gari..
ni gari la nani?
kama ni lake basi alikua anaendesha akiwa chini ya miaka 18?
alikua na leseni ya udereva?
Lipo kwenye hati ya mashtaka? Sio kila kitu ni kesi mdogoangu, kuna kitu kinaitwa hati ya mashtaka ambayo ndiyo inataja makosa anayoshtakiwa nayo mtuhumiwa.

Hata ivo, je, unafaham mtoto (minor) akiendesha gari anayeshtakiwa ni nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…