KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Aman iwe nanyi wapendwa

Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu

Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam

Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma

Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho

Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen

Mtanange bado unaendelea

Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano

Bado niko hapa makaman mazee

LONDON BABY
Kutoka kusababisha kifo hadi masuala ya leseni duuuuh
 
Mushkeli uko wap, kumbuka alikua tayar kakimbilia kujificha chooni. Mtu kaanguka unaskia kishindo. Halafu unaambiwa mtu ghafla anaumwa ngoja aje daktari, hujui anaumwa nn kwa kiasi gan, na mnaugomvi. Ungekua ni ww umefanikiwa kuchoropoka chooni utabaki ndani unamsubir tena daktari na huna uhakika kama kwel anaumwa au atazinduka ghafla.

Issue ya kwamba alienda Coco sio issue hata. Coco kuna club na sehem za refreshment (sio alienda kukaa kwenye mchanga wa bahari au kuogelea). Wenyewe walitaka aende wap sasa?

In my case I honestly buy her statements. Ni logical kabisa.
baba hujaelewa..mushkeli upo kwenye kuwasha gari..
ni gari la nani?
kama ni lake basi alikua anaendesha akiwa chini ya miaka 18?
alikua na leseni ya udereva?
 
baba hujaelewa..mushkeli upo kwenye kuwasha gari..
ni gari la nani?
kama ni lake basi alikua anaendesha akiwa chini ya miaka 18?
alikua na leseni ya udereva?
Lipo kwenye hati ya mashtaka? Sio kila kitu ni kesi mdogoangu, kuna kitu kinaitwa hati ya mashtaka ambayo ndiyo inataja makosa anayoshtakiwa nayo mtuhumiwa.

Hata ivo, je, unafaham mtoto (minor) akiendesha gari anayeshtakiwa ni nan?
 
Back
Top Bottom