Hapo unatafutwa umri aliokuwa nao wa wakati wa tukioKutoka kusababisha kifo hadi masuala ya leseni duuuuh
lulu ni mtt sana anaeza kua amezaliwa 95 hadi 96Heee!2012 lulu alikuwa under 18?mbona anaonekana mkubwa yule
Panda gari ya Bagamoyo,shuka Zinga,chukua bodaboda wambie wakupelwke MbeganHabari za asubuhi.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Naomba kusaidiwa kupata directions hizo kutokea makumbusho Dar-es-Salaam.
Thank you in advance.
God bless you
Have pity my friend.Ni ajali tuuu ilimpata.Ila kataishia kuwa chakula ya maafande wa gereza. After 5 years katakuwa
Na extra used papuchi yenye mileage kubwaaa
Mushkeli ni Lulu kuendesha gari akiwa na umri chini ya miaka 18...Mushkeli uko wap,
Uko sahihi kabisa[emoji106]Hapo wanaka ku establish the premise that, alipataje leseni wakati alidai kipindi kile alikuwa under 18!?
Hapo lazima aingie king. Justice for Kanumba.alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......
ndio yale ya kuongea wanaenda kukupima mkojoKutoka kusababisha kifo hadi masuala ya leseni duuuuh
Ana na kesi ya 'kugonga' mtu nini?
Linaweza kutumika ku establish ushahidi mwingine(umri) ambao utarahisishia kazi upande w mashtakaGari aliendesha mwenyewe, kuwa na leseni au kutokua nayo sio shtaka linalomkabili
Anhaamahakaman wanatabia hata ya kuingiza matukio ambayo hayahusian na hio kesi ili kuprove point flan
aaanh aaanh mkuu umenitoa kwenye mstari kufuatilia mada ya mdogo wetu na hatma ya maisha yake mbeleni...daaah nimecheka sana eti "mileage kubwa" ..mkuu kua na huruma ni ajali kazini hata yeye hapendi kwa yanayomkuta...Ila kataishia kuwa chakula ya maafande wa gereza. After 5 years katakuwa
Na extra used papuchi yenye mileage kubwaaa
alimuua kweli? je alikusudia?Anajitetea ili kuepuka kifungo, ila dhamira inamshitaki for what she did for Kanumba. [HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR KANUMBA.