KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

"ku date" iweke kwa kiswahili mkuu!
 

Mkuu katoto kamekukera sana
 
Daaah umeongea point aiseee....nmekuelewa sana
 
Nadhani wanajaribu kuestablish umri wake wakati wa tukio... kuna contradictions hapo anadai alikua minor while alimiliki leseni ( kigezo ni 18+ yrs) and wakimkosa hapo kuna party alifanya ya kujipongeza kufikisha 18 yrs kabla ya kanumba kufariki.... all in all wanaandaa mazingira incase akikutwa na hatia jukumu itolewe kama adult na zile advantage za uminor azikose.
 
Mkuu katoto kamekukera sana

Tatizo lake kalianza umalaya kakiwa kadogo sana.

Tatizo la pili kalikataa shule kakadhani ukahaba unalipa.

Tatizo kubwa kuliko yote maisha yake ni fake na kaongo sana, hata katika maisha ya kawaida.

Kukataa kwamba hakakumdate Marehemu KOmba ni mfano mmoja wapo ambao mimi nilishakuwa nako kule hotlini Komba laikuwa akikaweka, na kananifahamu hata kakiniona leo. Sasa uwongo uwongo huo, mtoto da namna hiyo, utamwamini kwa lipi?

Kweli Lulu haaminiki! Sanaa za kipumbavu nyingi.
 

Lakini haikuwa ajali ya gari,suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?

soma comments utaelewa kwanini habari za leseni zinatajwa...umeri wake ulikua unaleta mkanganyiko inapokuja swala la hukumu... alipataje leseni ikiwa alikua under 18???
 
aaah wewe na huyo komba wako usituchoshe,yaani ulitaka lulu akubali? komba si ana familia yule? unajua masharti ya mchepuko wewe? ulitaka akubali ili iweje? ili aseme ulikuwa nae .? upate kiki ama?
 
Kuna maswal unaeza ulizwa tuu ili kujua huyu mtu ni mkwel ama laaa,so ukiulizwa we unakunywa pombe ukasema sinywi wakat inajulikana unakunywa,watajua kumbe huyu ni mwongo mwongo,na chochote utachoongea kitakua uongo
 
OK, hapo sasa waangalie records za vizazi na vifo, hospitali, traffic etc, huko prosecution inaweza kupata ushahidi tosha kwamba hizi rekodi za hospitali kazaliwa tarehe hii, hizi rekodi za vizazi na vifo kazaliwa siku hii, hizi rekodi za etc etc.

Ionekane habari ya ushahidi w akutosha kutoka vyanzo mbalimbali kwamba alizaliwa lini nasiku ya tukio alikuwa na umri gani.

Yeye kujibabatiza tu si ushahidi, kwa sababu inawezekana alikuwa na miaka 17 lakini kwa kupenda mambo ya kikubwa akadanganya ana miaka 18 ili apate leseni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…