KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Thank you
 
joanah KANUNI YA MAHAKAMA NI KUONGEA UKWELI. HII NI KANUNI KUU NA NDIYO MANA UNAKULA KIAPO.

JUDGE ALIMWULIZA SWALI HLO LA LESENI AJUE KAMA NI WA KUELEZA UKWELI AU KUDANGANYA.

KITENDO CHA LULU KUDANGANYA, ANAIPA SHAKA MAHAKAMA KUYAAMINI MAELEZO YAKE KUHUSU KIFO CHA KANUMBA KWAMBA HUENDA AMETOA MAELEZO YA KUTUNGA.

KUMBUKA, KUTILIWA SHAKA KTK KES YA JINAI INAWEZA KUKUHARIBIA USHNDI WAKO.

KWA MFANO SWALI LA LISU KUHUSU LAW OF GRAVITY, LILILENGA KUITHIBITISHA MAHAKAMA KUWA, MTOA USHAHD NI MWONGO.

Nb: ukiwa muongo mahakaman hakikisha unakuwa smart na kumbukumbu

Rule 2
Sikiliza na ulielewe kwa umakn swali unaloulizwa na wakili kabla ya kujbu.
 
Anajitetea ili kuepuka kifungo, ila dhamira inamshitaki for what she did for Kanumba. [HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR KANUMBA.
Hapo ndipo ninapoamua kukaa mbali na shetani,anakuingiza kwenye mambo maovu,unaona kuwa unafaidi kumbe anakutafutia mtego ili uangamie bila ya kujijua,ukishaharibu anakuacha hana msaada wa namna yoyote..
 
Kwahiyo alimkimbiza na taulo hadi nje...akarudi nae tena chumbani ndo akadondoka ...!??

Mmhhh...!!??

Mbona haimake sense...
 
Pumbavu mnadhani kila mahala ukahaba unawalipa!. Sheria ni taaluma siyo taarabu!
Usiwe mwepesi kunyoshea mwenzako kidole, hii dunia hakuna mkamilifu ndugu, ni kwa vile hapo umejificha kwenye keyboard ndio maana mapovu yanakutoka tu, ila una mengi ya gizani pengine kuliko huyo Lulu

Alafu umekazania ooooh Lulu alikua anakazwa na Komba, sasa cha ajabu nin hapo?? Lulu si wa kike?
 
Na hapo basi Lulu alikuwa na jinai ya kuendesha gari kinyume cha sheria!
Kwa maelezo yake anasema aliwasha gari akaenda huko cocobeach, je leseni ya kuendesha gari aliitoa wapi angali hakuwa amefikisha umri wa miaka 18 ambao kisheria ndio unaomruhusu mtu kupewa leseni na kuendesha gari..?!?
 
Hehehe yana mwisho tumuache binti wa miaka 22.
 
Kama kweli alikuwa under 18 mpaka hapo amehakuwaa na kesi nyingine ya kujibu(kuendesha gari na kuwa na leseni wakati umri hauruhusu) na kama anadanganya umri nayo ni kesi ya kuidanganya mahakama. Asipokuwa makini kesi hii inaeza kuzaa kesi nyingine. kama kweli alihusika katika kifo cha kanumba hata kama akiachwa huru damu ya mtu huwa haiendi tu hivi hivi...asali sana kuomba aombe Mungu wake amsamehe.
 
Msichojua ni kwamba kesi ya umri ilishaisha ndo ikaamliwa kesi ya msingi iendelee,kama suala la umri lingekuwa mjadala basi ingekuwa ama bado kuamuliwa au angeshtakiwa juvenille court.Hapo mambo ya umri yanatumika tuu kulink na facts in issue zingine.Alikuwa na kawaida ya kunipiga,alikupinga mara ngapi na uliwahi lini kumkimbia? Mpenzi wako kaanguka kazimia unawza kuondoka kwenda coco? Ukaendesha na gari,na hyo gari namba ngapi na ni ya nani? Mbona ulimumsha na kummwagia maji kama uliogopa akiamka atakupiga? Mbona usimwache Seth halafu wewe ukamfuata daktari?
Kutoka kusababisha kifo hadi masuala ya leseni duuuuh


Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…