KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Lina uhusianonwa karibu sana na umri wake.
Swala la umri litakuja kuthibitishwa na Rita (vizazi na vifo), na kumbukumbu zangu wakt wa awamu ya kwanza ya kesi hili swala la umri lilijadiliwa sana mpaka tukaonyeshwa cheti cha kuzaliwa cha Lulu, ikafahamika kwel alikua 17yrs, abt ile birthday dogo mwenyewe alijipaisha umri tu kwasababu anazozifaham yeye, either kwa kujua or vice versa
 
utetezi mzuri, ukisoma hakuna mahali anasema alishikana na kanumba, hivyo alijifia mwenyewe. She did not set in mmotion the actions that caused his death! Najaribu ku imagine ukiwa unanikimbiza ukaanguka ukafa, sheria iansemaje?
Uwezekano wa Kanumba kuanguka bila kuwa na body contact na mtu haupo.
 
1.Walitwangana chumbani kanumba akiwa amelewa...akasukumwa akapingisha kichwa vibaya... Lulu akatoka akakimbia.

2. Lulu aliwaacha mabasha wake nje..ugomvi ulivyozuka yakaja yakamfanyia Kanumba yakatembea..

3. Taulo ni ujinga....panga ni ujinga....
bahati nzuri hakuna wa kuyakanusha, mind! walikuwa wawili
 
RITA pale miaka ya nyuma ulikuwa waweza tengeneza cheti kirahisi mnooo
 
Kesi ya kuendesha gari wakati ni under 18,haiwezi kuwepo.Pia nina uhakika,Lulu hakuendesha gari gari aliendesha mtu wa tatu.
 
Hii ndio hasara ya Kupenda mambo makubwa kuliko umri wako, yaani hapo kashaonekana yy muongo na wanasheria wakishapataga point of your weakness umekwisha.
Kweli aisee naona kama wanampeleka kiubavu ubavu ili wamubinue fresh
 
Tukumbuke pia judge sio poyoyo,mtu akilewa tu akakimbia uwezokano wa kuanguka upo ila sio kuanguka kwa kishindo kikubwa kiasi cha kupata brain concussion ikiwa sakafu haikulowa.
wewe, kulewa na kuanguka vinawezekana sana inategemea umeangukaje na wapi! Sakafu, unapata brain concussion!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…