OK, hapo sasa waangalie records za vizazi na vifo, hospitali, traffic etc, huko prosecution inaweza kupata ushahidi tosha kwamba hizi rekodi za hospitali kazaliwa tarehe hii, hizi rekodi za vizazi na vifo kazaliwa siku hii, hizi rekodi za etc etc.
Ionekane habari ya ushahidi w akutosha kutoka vyanzo mbalimbali kwamba alizaliwa lini nasiku ya tukio alikuwa na umri gani.
Yeye kujibabatiza tu si ushahidi, kwa sababu inawezekana alikuwa na miaka 17 lakini kwa kupenda mambo ya kikubwa akadanganya ana miaka 18 ili apate leseni.