Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Mkuu uelewa wa hawa jamaa ni shida tupu! Wanasheria wao wanawaingiza mkenge kila siku! Wanaacha kufuatilia mambo ya muhimu kuhusu kesi hiyo. Sasa eti pesa ya Mwinyi imekuwa issue kwani huyo Gaidi Bwire hajawahi kutumiwa pesa na mtu mwingjne zaidi ya Mwinyi na Mbowe!! Issue hizo pesa alizotumiwa na Mbowe zilikuwa kwa ajili ya kusaidia ugaidi.
Ulijujuaje?
 
Kabisa yaani , alishirikiana na Tiss na Polisi , huyu Hangaya kaiendeleza tu tena kwa shinikizo la kitengo , ulikuwa mpango wa Jiwe kufuta Chadema ili atawale kwa amani maisha yote .

NAAHIDI KUANZISHA UZI MWANANA KUHUSU HILI MUDA SI MREFU , KUNA WATU NAENDELEA KUWAHOJI
usiondoke JF
Aisee!Usinisahau mkuu utakapo weka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom