Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

Wabobezi wa siasa za kimataifa na hata Mwendazake, walishatutahadharisha kuwa nchi hii ni tajiri sana. Inayoweza kuwa donar country, kwa manufaa ya jamii kama itapata viongozi na wanasiasa wanaojitambua na kuthamini sovereignty yetu .

Mawazo ya kutegemea misaada kutoka nje ni mawazo ya ukakasi au ya 'kimakolokolo', yanayokaririwa sana na wanasiaswetu uchwara waliobobea kuchumia viriba tumbo vyao, badala ya kupigania utu, uhuru na maslahi mapana ya jamii.

Hakuna msaada wa bure aslani hapa duniani...anayeonekana kukusaidia ujue ana kikubwa cha kunyakua kutoka kwako... kama unataka kuliwa, liwa mwenyewe na sisi tuendelee kubaki salama salimini.
 
AISEE MNAJIFARIJI MASKINI YAANI MBOWE ALIVYOKONDA HIVYO UNASEMA KANENEPA? HIVI MNAKULA MAVI YA WAPI MAPAKA MNAKOSA AKILI?
Mimi nimeona kwenye picha kama mwenzangu umemuona physically the fine.Hii kula mavi inaonyesha jinsi ulivyo imbecile!!!
 
Enzi za Mwendazake Mbowe alikaa ndani muda wa kutosha,na hatukuwaona mahakamani.

Je wanataka kumtikisa rais wetu?
Je wanataka ku influence maamuzi ya mahakama?
Kwa faida ya Nani?
 
Mtoto mdebwedo wa wazungu. Hakuna comment unayotoa bila kuhusudu wazungu!
 
Nchi hizo zote ziko mbioni kufunga balozi zao nchini, kweli tunapaswa kufanya kitu kuokoa nchi yetu.
 
Reactions: BAK
Ni aibu kubwa kwa rais wa nchi hadi hapa tulipofikia na nchi nyingine zipo katika mchakato wa kufunga balozi zao hapa nchini!
 
Hii kesii mabalozi wameishikia bango sana

Tumeamua kwenda na dunia inavyo enda.

Hivi kuna balozi wa Tanzania anayeweza kuhudhuria kesi inayo husu mambo ya siasa za ndani za USA ,UK, Sweden nk habari hiyo ikandikwa kwenye karatasi hata ya chooni? Hapa malimbukeni yana furahia na kukanyagana.
 
Unataka kusema nini hapa mkuu?

Kwamba akiendelea kukaa magereza ni faida zaidi kwake na kwa chama chake?

Kama ni ndio, kuna haja ya kumwomba judge aendelee kuahirisha kesi ili tupate mileage.
Umuombe judge we nani? Kwa sheria ipi?

Ujinga unaanziaga hapa
 
Mumekaa tu kufikiri misaada ndio italeta maendeleo nchini. Tangu tumepata uhuru misaada haijaweza kuleta maendeleo ila maamuzi na nguvu zetu ndio zimetufikisha japo hapa tulipo. Mnaolilia misaada ni wale wenye kushirikiana na watoaji misaada kuila.
 
NCHII HAIWEZI KUENDESHWA KWA KUWATEGEMEA MABALOZI
Haupo sawa kukichwa so, unatakiwa kupuuzwa Kwa kuwa mpuuzi! Dunia ni kijiji na Tanzania siyo kisiwa! Kama unadhani mabalozi hawana umuhimu kwenye kuendeshea nchi mliwakubali ili iweje? Huenda huijui maana ya diplomacy ndio maana unahorojeka kifala!
 
Ulicho ongea brother ni correct by 100%.
CCM ndiye mchawi wa Tanzania. CCM wameamua na wanataka KULAZIMISHA UTAWALA WA CHAMA KIMOJA KAMA ILIVYO CHINA. Huu ni ungese wa kuiga siasa za nchi fulani!!!!
 
Ulicho ongea brother ni correct by 100%.
CCM ndiye mchawi wa Tanzania. CCM wameamua na wanataka KULAZIMISHA UTAWALA WA CHAMA KIMOJA KAMA ILIVYO CHINA. Huu ni ungese wa kuiga siasa za nchi fulani!!!!
Hofu yao kubwa ni kupoteza dola na kushughulikiwa baada ya kupoteza dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…