Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

Je, Lijenje alikuwa ni subject of dispute in the courtroom? Je, defence counsels walikuwa wanamuhitaji mahakamani kwaajili ya kumtumia katika utetezi wa wateja wao?, defence counsels waliomba aletwe mahakamani na mahakama ikakataa ombi hilo!?
kumleta Lijenje mahakamani.
 
Je, Lijenje alikuwa ni subject of dispute in the courtroom? Je, defence counsels walikuwa wanamuhitaji mahakamani kwaajili ya kumtumia katika utetezi wa wateja wao?, defence counsels waliomba aletwe mahakamani na mahakama ikakataa ombi hilo!?

Hudhani jaji kutojihusisha kujua ukweli ni upi hakuwa na jema kwa waliokuwa wanalalamika kuteswa?

Huoni jaji kutojihusisha kujua ukweli inaacha ukakasi wa wazi kuwa bila shaka jaji alikuwa amedhamiria kutafuta kisingizio chochote, na kwa hakika kisingekosekana?
 
Hivi mimi nikikamatwa na polisi nabaki tu mahabusu bila kuchukuliwa maelezo wala kupelekwa mahakamani kwa muda uliowekwa kisheria hadi mtuhumiwa mwingine wanayemtafuta apatikane? Asipopatikana miaka 50 mbele nitabaki tu mikononi mwa polisi? Mbona hawa watafsiri wa sheria wanatuchanganya?
Au kwa vile Mama ni Hassan, polisi ni Ramadhani, na Hakimu naye majina hayohayo?
 
brazaj ndiyo maana mwanzoni niliuliza je, kuna any procedural law or substantive law inayompa Jaji discretionary power to investigate issue ya Lijenje au Kpt. Urio? Tunaweza kuwa tunamlaumu Jaji kumbe tunachokitaka hakimo ndani ya sheria yoyote. Na ieleweke kuwa Judges decide cases according to the law. Na ndiyo maana husemwa kwamba haki kwa mujibu wa sheria. Mnaweza kuwa na sheria mbaya, lakini hizo sheria mbaya ndiyo zinazotumika mahakamani. Jaji hawezi kujitungia sheria yake.
Mimi natamani tu kujifunza, labda kuna any provision ambayo inampa Jaji uhuru wa kusema nataka Lijenje au Kpt. Urio aletwe mahakamani for further scrutiny of the facts so raised before the court
 
Nasikia akiwa Arusha aliendelea kuhubiri uzuri wa CCM huku akiwatafuta wafuasi wengine wa kujiunga na chama chake na hiyo kazi haikuwa bure akampata Ally Bananga. Mbona wengine wananyimwa hiyo fursa ya kutafuta wanachama wengine?
 
Ku-fail kwenye jambo moja hakuhalalishi ku fail kwa jambo la pili, na kama technicalities zingekuwa hazina maana zingeondolewa kwenye process za kusikiliza kesi, zaidi, matokeo ya kesi ndogo ya jana ilikuwa na uzito mkubwa kwenye kuamua hukumu ya mwisho, jaji anapokubali maelezo ya watuhumiwa yamechukuliwa bila kujali yamechukuliwa under what condition ni kuivunja sheria makusudi, sioni haja ya kutetea hili.
 
Naogopa sana siku ikitokea maamuzi yakiwa yanatoka kwa kuangalia taswira hii. Yaani tukifikia hapa ni hatari sana
Tunakoelekea unakuonaje? Angalia jaji mkuu anaitwa nani? Katibu mkuu kiongozi Je? Waziri Mkuu je? Jaji aliyesikiliza kesi ya Mbowe je? Polisi aliyembambikia kesi Mbowe Je? Mkuu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Je? Jaji Kiongozi je? Mkurugenzi wa Mawasiliano magogoni/chamwino je? Tamisemi je? Angalia nafasi zote nyeti utagundua kitu kweupe!!!
 
Je, Lijenje alikuwa ni subject of dispute in the courtroom? Je, defence counsels walikuwa wanamuhitaji mahakamani kwaajili ya kumtumia katika utetezi wa wateja wao?, defence counsels waliomba aletwe mahakamani na mahakama ikakataa ombi hilo!?
Lijenje alikuwa sehemu ya watuhumiwa unauliza vipi kama alikuwa subject of dispute? huoni uhusika wake kwenye kesi hapo?

Lijenje alikuwa subject wa kesi na alitakiwa kuwepo mahakamani, kwa maana hiyo jaji alitakiwa kuuliza Lijenje yuko wapi? mwisho wa kumtafuta uliishia wapi?

Ukisema alikuwa "subject of dispute in the courtroom" simply na wewe unaleta tabia za jaji Siyani kukimbia hoja zinazombana ili awalinde jamhuri, wacha usanii.

Kama Lijenje hakuwa sehemu ya kesi kwanini jaji alikubali jamhuri walivyopoteza muda kwa ajili ya kumtafuta?
 
Hapa litabaki kuwa ni swala mtizamo binafsi when looking at the ultimate end. Mimi binafsi huwa nikiona hizo technicalities will never put an end to the main suit huwa naachana nazo. I never delve onto them kwa kuwa naona zinaishia kupoteza muda na kumuumiza mteja wangu unnecessarily. Huwa ninafanya hivi kwa sababu najua I'll have room for appeal in case justice has not been properly served, na hizo technicalities ndiyo will be my limbs to stand on
 
Nakuelewa sana mkuu. Naelewa sana unachomaanisha. Ninakiona unachokisema. But let's give her benefit of doubt
 
Zinaumiza vipi mteja wako kama haki ya mteja wako imewekwa njia panda na kuna uwezekano maamuzi ya mwisho yakaathiriwa na haki ya mteja wako kupindishwa toka mwanzo?

Zaidi, maamuzi ya shauri kama la jana bado yangeruhusu kesi ya msingi kuendelea kusikilizwa, hayakuwa ndio final, lakini maamuzi yale yalikuwa na direct impact kuu favour upande mmoja wapo siku ya hukumu ya mwisho, huwezi kudharau uwepo wa technicalities kwa hali hii.
 
Let's agree this to be our point of departure to alternatively reaching the same end
 

Myopic ni nyie mnaoshangilia na kuisifia mahakama kila mnaposhinda kesi!
 
Amesikika Bashiru Ally akilalama huko BK kuwa Samia anavunja katiba kwa kuendelea na mikutano ya hadhara ya CCM huku akivizuia vyama vya upinzani.
Mkuu ya kweli haya? Nataka nifunge mtaa kwa sherehe kama hili limetokea.
 
Hii hukumu inampa askari mamlaka kamili kupiga na kubambikia mlala hoi kesi
 

Aliyekuambia judge hakuangalia facts za kesi ni nani? Facts zile zile zikiangaliwa na watu hata watatu tofauti zinaweza kutoa majibu matatu tofauti. That’s just the nature of the beast; adjudication of a legal dispute isn’t an exact science!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…