Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka


Kwani mkuu wewe umeelewa:

1. kwanini jaji ametupilia mbali pingamizi kuwa maelezo ya mshitakiwa yalitolewa nje ya muda?

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?

2. Kwanini jaji ametulipia mbali pingamizi kuwa mshitakiwa aliteswa?

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?

Kwani kuna hata haja ya ku beat around the bush?

"Wacha maneno, weka Muziki."
 
Let's agree this to be our point of departure to alternatively arriving at the common end
Lijenje alikuwa subject wa kesi na alitakiwa kuwepo mahakamani, kwa maana hiyo jaji alitakiwa kuuliza Lijenje yuko wapi? mwisho wa kumtafuta uliishia wapi?
Lijenje alikuwa subject wa kesi na alitakiwa kuwepo mahakamani, kwa maana hiyo jaji alitakiwa kuuliza Lijenje yuko wapi? mwisho wa kumtafuta uliishia wapi?
Mkuu, kama ulifanikiwa kusoma hukumu ya High Court kesi ya Zombe, hili swali lako linajibika mle kuhusu issue ya yule Koplo Saad who is "still at large". Mimi hakuna ninapojaribu kumtetea Jaji Siyani kwa namna yoyote ile. Ndiyo maana toka mwanzo nimesema najaribu kujifunza kitu kipya. Nimesema practice of law is an unending learning profession. Ila ukiwa tayari na upande, unaweza kujikuta unaacha mambo ya msingi sana ambayo yanaweza kufungua zaidi uwanja wa kujifunza
 
😂😂😂😂

Jaji hana ushahidi kwa hoja yoyote wala kifungu cha sheria, lakini katoa hukumu.

Wewe huoni kuwa huyu angetumia kisingizio chochote kufikia uamuzi huu huu katika hali yoyote?

Hapa chini ni factual. Make no mistakes:



Kucheza na haki za watu kuna mwisho.
 
Samahani mkuu, naomba nikusumbue usome Part III ya Evidence Act yote tu kama ilivyo. Naamini kuna kitu cha tofauti utakiona kuhusu hili jambo.
 
Samahani mkuu, naomba nikusumbue usome Part III ya Evidence Act yote tu kama ilivyo. Naamini kuna kitu cha tofauti utakiona kuhusu hili jambo.

Kwanini ni magumu kwako haya:

----------
1. kwanini jaji ametupilia mbali pingamizi kuwa maelezo ya mshitakiwa yalitolewa nje ya muda?

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?

2. Kwanini jaji ametulipia mbali pingamizi kuwa mshitakiwa aliteswa?

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
----------

Hudhani hapo ndipo palikuwa pa kuanzia?
 
That’s how you hedge. If CHADEMA followers truly believed in this, they wouldn’t be bringing hundreds of civil lawsuits to our courthouses every now and then!

That's our belief. I repeat: "you can take that to the bank."

The rest is for public consumption. For every Tom, Dick and Harry to see:

Your browser is not able to display this video.


We are not at all enthusiastic for any outcome.
 
It's not about taking sides here, it's all about what the law just say.

Kesi ya Zombe ilikuwa ya ugaidi? if not Jaji Siyani ataikataa pia.
 
Mawazo/hoja yako hiyo siyo tu inasikitisha pia inatia huzuni kwamba unasukumwa na dhana ya kisiasa kulaumu chombo cha haki na hasa watumishi wake.

Kwako wewe, na wenye mawazo kama yako hayo, mnaamini kila mtumishi wa umma anayetekeleza wajibu wake ni mfuasi wa chama tawala au anajipendekeza kwa mamlaka ya uteuzi wake / mwajiri wake, na siyo taaluma.

Kwa nini nami nisiamini unajipendekeza kwa hao unaowatetea,?
 

Mkuu labda wewe hukumu ulielewa.

1. Kwanini jaji ametupilia mbali pingamizi kuwa maelezo ya mshitakiwa yalitolewa nje ya muda:

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?

2. Kwanini jaji ametulipia mbali pingamizi kuwa mshitakiwa aliteswa:

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?

Maoni ya kujipendekeza kwake yanakuja kwa sababu ya kukosa majibu kwenye maswali hayo manne tu, basi.
 

Mimi siyo mwanasheria. Iwapo wewe ni mwanasheria, kwa faida ya jukwaa na kuweka uzito kwenye lawama yako dhidi ya hukumu ya huyo Jaji, tufafanulie, kwa vifungu vya sheria, upungufu wake (hukumu imeambatanishwa)
View attachment 1982434
 
Kile kitendo tu cha kumweka msajili wa mahakama ofisa wa TISS na kumpachika ujaji, Jaji mkuu kumfanya kuwa afisa wa TISS, na kuwateua TISS officers kadhaa kuwa majaji, na kesi kupangwa kusikilizwa na TISS officers waliopachikwa mahakamani, ni dhahiri mahakama haipo bali serikali ile ile inajibadili mara mahakama, mara Bunge, mara serikali.

Hakuna utawala wa sheria, hakuna checks and balances, uongozi mzima unakuwa ni wa hadaa.
 
Mimi siyo mwanasheria. Iwapo wewe ni mwanasheria, kwa faida ya jukwaa na kuweka uzito kwenye lawama yako dhidi ya hukumu ya huyo Jaji, tufafanulie, kwa vifungu vya sheria, upungufu wake (hukumu imeambatanishwa)
View attachment 1982434

Hukumu inawajibika kutoa ushahidi wa wazi usiokuwa na shaka unaoonyesha sababu ya kuufikia uamuzi uliofikiwa ukifungamanishwa na sheria husika.

Katika hoja zote mbili:

Jaji Kiongozi Siyani, hana ushahidi kwa hoja yoyote wala kifungu cha sheria husika, lakini katoa hukumu.

Wewe huoni kuwa huyu angetumia kisingizio chochote ili mradi kufikia uamuzi huu huu katika hali yoyote ile?
 

Yaonekana una ujuzi/uelewa wa uteuzi na wajibu wa wateuliwa katika nafasi zao. Hivyo basi, kwa hoja yako hiyo (maandishi mekundu), naomba ufafanuzi kuhusu wateule hao na uhusika wao kuharibu mwenendo wa kesi inayojadiliwa.
 
Niliambatanisha hiyo hukumu nikiamini utaipitia kuona mapungufu yake, kisheria, na hatimaye uipinge ipasavyo. Badala yake ulioyaandika ni hisia zaidi za kuthibitisha lawama dhidi yake Jaji
 
Niliambatanisha hiyo hukumu nikiamini utaipitia kuona mapungufu yake, kisheria, na hatimaye uipinge ipasavyo. Badala yake ulioyaandika ni hisia zaidi za kuthibitisha lawama dhidi yake Jaji

Rejea kuona hakuna ulichoambatanisha bali maneno matupu
 
Suala ambalo liko wazi kabisa kiasi hiki unashupaza shingo na kuanza kulijengea vioja baada ya kukosa hoja? Hivi unadhani dhuluma huwa inatetewa kama unavyopoteza muda hapa?

Hata ungeandika kwa kikwenu hapa hueleweki na hautaeleweka. Hizi mahakama zetu na majaji wametekwa na teuzi.

Bisha, kataa, ama tunga hata uongo lkn huu ndiyo utabakia kuwa ukweli wa Mungu nafsi.
 

Kama umeisoma hukumu (niliiambatanisha awali), nitaheshimu hoja zako, pale utakapoirejea ukioanisha mapungufu yake, kisheria. La, wewe ndiye huna hoja Hata ungeandika kwa kikwenu hapa hueleweki na hautaeleweka!!!!![emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…