Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
By Mchokozi !! kupitia twitter:

Mnaishinikiza Familia Imuombe Mwamba Akubali Kikao Cha Kumaliza Kesi Kwani Wakati Mnamkamata Na Kumfungulia Kesi Mliomba Kikao Nae? Mwiba Hutoka Ulipoingilia, Mwamba Anasema Wacha Iendelee Kunyesha.

Njia PEKEE Ya Rais Kuondokana Na Hii Kesi Ni Kusema "Nilishauriwa Vibaya" Au "Tumeona Kesi Haina Maslahi Kwa Umma Na Tumeamua Kuzika Tofauti Zetu" Kuiomba Familia, Kuwatuma Marafiki Wa Mwamba Gerezani, Kumtumia Zitto, Kumtuma Mzee Mangula Kwa Mnyika Haitasaidia.
 
Ifike mahali Taifa lisiishi kwenye unafiki.

Rais ndiye anayelazimika kutoka hadharani kumwomba msamaha Mbowe, Watanzania, familia ya Mbowe na Ulimwengu, na kusema kuwa ama alikengeuka au alikengeushwa kiasi kwamba akafanya uchafu wote huo dhidi ya Mbowe na makomandoo.

Na aseme walipomweka Lijenje.

Najua hatafanya, lakini tunaomba kabla ya hatma ya maisha yake ya Duniani kwisha, siku moja, kwa vile hakutaka kufanya kwa hiari, alazimishwe kufanya hivyo.
 
tunaambiwa kuna komandoo ameisha potezwaa na 'wanaojulikana' mpaka sasa hajulikani alipo, mwamba akikubalii tuu kukaa mezzani na watawala basi moja kwa moja na yeye anakuwa snitch....over!
 
Chadema ni Taasisi sio Mtu lakin tangu 'Mtu' awekwe ndani harakati zote za Katiba mpya sijui mikutano ya ndani sijui mikutano ya hadhara imesimama …hata harakati za kuwaandama kina Halima Mdee zimesimama

Sasa wanasimama kidete kutaka 'Mama' asimsamehe 'Mtu' ili waendelee kula pesa za Wazungu kugharamia kesi yake

Mjini mipango
 
Wewe hujui machungu wanayopitia wanafamilia wa Mbowe.

Iacheni familia ifanye maamuzi sahihi!
Mandela aliwahi kukataa kuachiwa na kuwaacha Akina Sisulu gerezani,
Winnie aliwahi kumshawishi mzee akubali yaishe asije fia gerezani father akakataa,alijua siku akikubari ndio siku atakapo ubwaga utume wa waafrika kusini alipaswa kuwa beba waoga,mashujaa,wakubwa na watoto na haki za waafrika,sio nafsi na familia yake a sacrifice for the nation.
Tunawategemea wahuni na kina kiroboto ili wafanye sacrifice ya taifa hili?
Hiki ndio kipimo Cha ukomavu wa Mbowe kisiasa.
Akikubali tu ofa za kijinga amekwisha,itamgharimu ushawishi wake kisiasa utakwisha moja kwa moja na hili ndilo wanalolitaka kina kiroboto.
 
By Mchokozi !! kupitia twitter:

Mnaishinikiza Familia Imuombe Mwamba Akubali Kikao Cha Kumaliza Kesi Kwani Wakati Mnamkamata Na Kumfungulia Kesi Mliomba Kikao Nae? Mwiba Hutoka Ulipoingilia, Mwamba Anasema Wacha Iendelee Kunyesha.

Njia PEKEE Ya Rais Kuondokana Na Hii Kesi Ni Kusema "Nilishauriwa Vibaya" Au "Tumeona Kesi Haina Maslahi Kwa Umma Na Tumeamua Kuzika Tofauti Zetu" Kuiomba Familia, Kuwatuma Marafiki Wa Mwamba Gerezani, Kumtumia Zitto, Kumtuma Mzee Mangula Kwa Mnyika Haitasaidia.
MWAMBA..✌🏽✌🏽✌🏽Najivunia kuwa mtiifu kwa Mheshimiwa Mbowe..na sitajutia katu.
Love you so much CHADEMA ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
 
Mzee Mtei ameonekana Dodoma? Hivi lile zuio la yeye kutokanyaga Dodoma lilishaondolewa?
 
By Mchokozi !! kupitia twitter:

Mnaishinikiza Familia Imuombe Mwamba Akubali Kikao Cha Kumaliza Kesi Kwani Wakati Mnamkamata Na Kumfungulia Kesi Mliomba Kikao Nae? Mwiba Hutoka Ulipoingilia, Mwamba Anasema Wacha Iendelee Kunyesha.

Njia PEKEE Ya Rais Kuondokana Na Hii Kesi Ni Kusema "Nilishauriwa Vibaya" Au "Tumeona Kesi Haina Maslahi Kwa Umma Na Tumeamua Kuzika Tofauti Zetu" Kuiomba Familia, Kuwatuma Marafiki Wa Mwamba Gerezani, Kumtumia Zitto, Kumtuma Mzee Mangula Kwa Mnyika Haitasaidia.
Tulionya mapema sana lakini tulipuuzwa
 
Back
Top Bottom