Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

Nchi iko ovyo wewe unaangaika na ratiba za chadema.
 
Acha umbea falana wewe
 
Hangaya kajazwa na vibaraka wake wafungue kesi sasa inamtokea puani
 
Dalali wa CCM,Zitto Kabwe alijituma mwenyewe.
 

Mkubwa hakosei mkuu Bali anapitiwa tu, hapo inabidi tu DCI aseme hana nia ya kuendelea na hiyo kesi basi.
 
Mkubwa hakosei mkuu Bali anapitiwa tu, hapo inabidi tu DCI aseme hana nia ya kuendelea na hiyo kesi basi.
Uamuzi huo ukifikiwa, wasiojulikana na waliojulikana akina badluck &co, tuwaone wakiwa nyuma ya nondo .
 
Hawa makitu ni hovyo sana
 
Haya makitu ni hovyo sana
 
Hivi hao makomandoo waliopagawa walikua wapi bosi wao akilambwa mitama huko Dom mpk kuvunja mguu?
 
Eem mambo yamefija huko?
 
Hivi kwa busara zako, hicho ulichosikia kinaingia akilini? Yani serikali iliyomfungulia kesi Mbowe iiombe familia yake akubali kesi iishe? 🙄 Kama ingekuwa hivyo, kwanini serikali ipoteze mamilioni kila siku kuendesha kesi hiyo badala ya DPP kuamua "kuachana nayo"?

Kuna watu wananufaika na uwepo wa Mbowe gerezani ikiwa ni pamoja na hao "waliotafuna muchango ya kesi."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…