Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

Na bado watakomaa katiba mpya haina umuhimu kwa sasa.....
 
Ujinga wa kula visivyotafunika, matokeo sasa Chief mkuu ameharisha uku ameketi mbele ya hadhara kwenye meza kuu,harufu imeanza sikika kwa wahudhuriaji..

Anajiuliza atoke vipi sasa. Nani wa kumnusuru bi mkubwa asiaibike?
 
Kwamba serikali ndo Wana akiri
 
Wewe hujui machungu wanayopitia wanafamilia wa Mbowe.

Iacheni familia ifanye maamuzi sahihi!

Wamshinikize ndugu yao akiri kuwa yeye ni gaidi ili tu atoke gerezani? Athari ya kujulikana kwamba wewe ni gaidi unazijua?

Amandla...
 

Mbona serikali imeendesha kesi nyingi tu kwa miaka mingi halafu baadae "kuachana nazo"?

Na hao unao watuhumu wananufaika vipi na kuendelea kwa hii kesi?

Amandla...
 
Hebu acheni upumbavu hivi mnafikir rais ni taasisi ya kijinga jinga tu
 
Hangaya kajazwa na vibaraka wake wafungue kesi sasa inamtokea puani
Kesi inayoendelea kuchafua heshima ya Jaji na mfumo mzima wa kimahakama kwa rejea ya hukumu Mapolisi ndio wamechafuka na kunuka
Mkapa kwenye kitabuchake alisema
Karume pia amesema hadharani

Mama tubu kabla
 
Well Noted Mkuu
 
Eem mambo yamefija huko?
hata wewe si mwanafamilia wa Mh. MBOWE ... Kwani huna uchungu
Familia ya Mbowe ndio imekuwa ofisi ya DPP?
 
DPP kagoma kuifuta hadi wanafamilia wakubali Pledge ya mabilioni??
 
Rais anahusikaje ktk kesi? Msipende maneno madogo madogo kila uchao!
 
MWAMBA..✌🏽✌🏽✌🏽Najivunia kuwa mtiifu kwa Mheshimiwa Mbowe..na sitajutia katu.
Love you so much CHADEMA ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
kwa mabilionea tujifunze.

Mabilionea wana akili nyingi na hawakati tamaa. Kama wasingekuwa hivyo wasingekuwa mabilionea
 
Mbowe na wapkwa mafuta wengine kama Ayoub.

Mafanikio hayaji kiwepesi. There must be a pain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…