Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

Sahihi kabisa. Watamwomba msamaha tu.

Ile mtego wa jana Chadema imebaunzi. Watoto wa mjini wajanja sana
 
Ujinga wa kula visivyotafunika, matokeo sasa Chief mkuu ameharisha uku ameketi mbele ya hadhara kwenye meza kuu,harufu imeanza sikika kwa wahudhuriaji..

Anajiuliza atoke vipi sasa. Nani wa kumnusuru bi mkubwa asiaibike?
Bibi yupo uchi, woote wazi shombo la feri kama lote…!
 
Wewe utakua wa Burundi , tz unapasikia tu
 
Upo sahihi sn
 
Wewe hujui machungu wanayopitia wanafamilia wa Mbowe.

Iacheni familia ifanye maamuzi sahihi!
Hili jaribu alilipata Hata Ayubu. Shetani alipomtumia Mke wake amshawishi mme wake ili akane Mungu. Ayubu alisimama imara akailinda imani akawa mshindi. Ndivyo ilivyo kwa Mbowe anatakiwa awe imara na mwisho Watesi wake wataaibika na yeye kuibuka Mshindi na Shujaa wa Nchi.
 
Mkuu kuna na yule mwingine aliyesema """Mbowe sio Malaika. Subirini mkathibitishiwe uhalifu/ugaidi wake kule Mahakamani. Tuna ushahidi wa kutosha"""". Huyo si mwingine Bali ni IGP SIRRO.
 
Kwani DPP akiamua kufuta hii kesi nini kitaharibu?. Mbowe atadai fidia?
 
Hujui unachoongea wewe, kazi inafanyika sana na kwa taarifa yako Mwenyekiti Mbowe anafarijika sana kuwa yale aliyosimamia yanafanyika kwa ustadi mkubwa mno, au kwa vile hayatangazwi ndiyo maana mnajiropokea tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwani yeye ndo alitoa maagizo ya Mbowe kukamatwa? Plus Katiba hairuhusu maamuzi ya mahakama kuingiliwa kama ulimsikiliza jana Rais Samia Suluhu alisema wazi kwamba sheria iheshimiwe otherwise utawajibike
 
Hivi yaweza kuwa maji yako shingoni eee Nyinyiem bwana , HIV kweli watu wa mifumo Akili hamna Si Bora ummpe hata Kesi ya kuandamana bila kibali ,Unampa Kesi ya ugaid ujinga mkubwa sana
Nyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…