Cathelin JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,071 Reaction score 3,995 Dec 16, 2021 #81 Babati said: Mbowe siyo mali ya familia ni mali ya wananchi wa Tanzania(public figure) Click to expand... Kabisa
Babati said: Mbowe siyo mali ya familia ni mali ya wananchi wa Tanzania(public figure) Click to expand... Kabisa
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Dec 16, 2021 #82 johnthebaptist said: Wewe hujui machungu wanayopitia wanafamilia wa Mbowe. Iacheni familia ifanye maamuzi sahihi! Click to expand... Kwani familia ndo imesema hayo ya kuomba msamaha..!? Kwa kosa lipi..!?
johnthebaptist said: Wewe hujui machungu wanayopitia wanafamilia wa Mbowe. Iacheni familia ifanye maamuzi sahihi! Click to expand... Kwani familia ndo imesema hayo ya kuomba msamaha..!? Kwa kosa lipi..!?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 17, 2021 #83 Cathelin said: Kabisa Click to expand... sawa mkuu
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Dec 17, 2021 #84 Haiwezekani madai ya tume huru ya uchaguzi na katiba mpya vigeuke kua upangaji wa ugaidi