100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Hata kama mzee, ni aibu kubwa that's why mahakamani watu walicheka🤣,hayo hapo juu yanaathiri nini ushahidi wa prosecution hasa ikizingatiwa shahidi hajui kiingereza, ameulizwa kwa kiswahili, maelezo yaliandikwa kwa kiswahili....
Yaani kwa jinsi alivyoelezea wasifu wake haswa elimu aliyonayo, na kusoma nchi za ng'ambo, anafanya kazi maabara kubwa kama hio, anaandika report halafu hajui maana ya engage na terrorism?🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee ni aibu mno, nahisi alichanganya tourism na terrorism 🤣🤣😂🤣😂🤣🤣
Jamaa amejiabisha na anajuta kuitwa kama shahidi na kiherehere chake, waanze kuchunguza vyeti vyake🤣😂😂🤣🤣
Mungu kamuumbua🤣😂🤣😂🤣
#terrorismniutalii