Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Anajiita prosecutor wa zamani. Kwa kujiita hivyo ni dhahiri ni wale Polisi waliokuwa waendesha mashtaka kabla kazi hiyo kupelekwa Kwa DPP.Kazi sanaa aisee kama nawe ndo mwanasheria.
Anaendelea kudhani walivyokuwa wanabambikia kesi watu huku yeye Polisi mwenzao akishirikishwa na kutoa ushauri wabadilishe maelezo ya mshtakiwa na waweke saini ya Mshtakiwa Kwa dole gumba wakitumia kichaa cha uume wa Polisi mwenzao inaendelea mpaka Sasa.