Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

Hujui na hufuatilii kinachondelea mahakamani, je neno terrorist na terrorism yalianzia hapo mahakamani au kwenye ripoti ya polisi. Kama ni kwenye ripoti. Je yalitakiwa yawepo au, kumbuka umesema ripoti ilikuwa ya kiswahili, lengo la mawakili ni kulinganisha kama Shahidi ndiye aliandika ripoti hiyo kutokana na maelezo ya mdomo
kama kuna saini yake mle utarule out vipi kwamba hakuandika? rejea competence to tender MIZRAI's case
 
Case hii ilikwisha kwenye ile hukumu ndogo ambayo mahakama ili kubali kuchukua ule ushahidi ambao yasemakana hao makomando wali sign kukiri kutumiwa kutenda ugaidi....

hiki kinacho endelea mahakamani ni kupoteza muda tuuu... lakini hukumu ilishatolewa...
Mimi toka ile hukumu ndogo niliacha kufatilia hii case kwasababu hukumu ile ndogo itakuwa na mchango mkubwa sana kwenye hukumu kubwa....
na unaamini kama ingekuwa ni hivyo na hakuna ushahidi mwingine prosecution wangekuwa hawajaondoa hiyo kesi? akili zako zimelala? na unawaamini makomandoo waliokua wamekula kiapo cha damu kulitumikia taifa ati wanaweza kuitumikia chadema? nani atakuja kuwafungua macho ninyi vipofu?
 
ajabu yake wote wanaosema ni ya kubumba hawajui chochote kilichopo kwenye jalada. wazungu wamekuja wameona ushahidi wakanyamaza kimya wasubiri huruma ya mahakama, lakini kajambanani wa mbagala huko asiyejua chochote ila ameaminishwa na cdm kuwa ni ya kubumba ndio anasema hivyo. foolish, badala ya kupambana mahakamani vizuri mnaleta siala.
hao wazungu uliowaonesha wewe hilo file???? Kama mnalipwa kutetee hao watawala si uchukue pesa harafu ukae kimya?
 
wazungu si umeona wamenyamaza, hao kina blair hukuwaona, balozi wa marekani yule mtetezi wenu na aliyekuwa anamlipa kigogo si uliona amesema tuiachie mahakama? mmejaza mashavu tu kupiga kelele mambo msiyoyajua.
 
Wakati mwingine nikisikia watu wasio wanasheria wanavyojadili mambo ya kisheria huwa nawaonea huruma sana kwasababu it will take them 100 years to know the truth. hapo hakuna wanasheria, tafuteni wengine, fuateni ushauri huu mtakuja kunishukuru.

Hao sio criminal lawyers, kuna mawakili wa jinai wazuri na wanajua techniques kuliko hao, wao faida yao ni kwamba wanajipublicise na kupata wateja na kujulikana zaidi nchini ila sio kuwasaidia kwenye hiyo kesi.
Kwa hiyo unaomba kazi uwe wakili wa Mbowe?
 
wazungu si umeona wamenyamaza, hao kina blair hukuwaona, balozi wa marekani yule mtetezi wenu na aliyekuwa anamlipa kigogo si uliona amesema tuiachie mahakama? mmejaza mashavu tu kupiga kelele mambo msiyoyajua.
Mpumbavu mkubwa wee! Yaani mabalozi wanapewa ushahidi kabla ya mahakama! Wanaoneshwa ili iweje?
 
Hata kama mzee, ni aibu kubwa that's why mahakamani watu walicheka🤣,

Yaani kwa jinsi alivyoelezea wasifu wake haswa elimu aliyonayo, na kusoma nchi za ng'ambo, anafanya kazi maabara kubwa kama hio, anaandika report halafu hajui maana ya engage na terrorism?🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣

Aisee ni aibu mno, nahisi alichanganya tourism na terrorism 🤣🤣😂🤣😂🤣🤣

Jamaa amejiabisha na anajuta kuitwa kama shahidi na kiherehere chake, waanze kuchunguza vyeti vyake🤣😂😂🤣🤣

Mungu kamuumbua🤣😂🤣😂🤣

#terrorismniutalii
Hapana yule ni ngumbaru with no excuse

Tungeweza kumsamehe kwamba alisikia tofauti kwenye terrorism akajua ni tourism lakini kwenye terrorist kua ni ugaidi hapana aisee
 
Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error".

Je, sheria na mahakama zinasema kuhusu hiki kinachoitwa "typographical error"?

Ukweli ni kwamba mtu unaweza kukosea kuandika kitu tofauti na ulivyotarajia. Ila wakati wa kusahihisha "typographical error"? jaji hajaanza kusikiliza kesi.

Bahati nzuri kesi hii imeenda hivyo upande wa akina Mbowe. Kama mnakumbuka wiki mbili zilizopita akina Kibatala, Mallya na wenzao waliomba kuwe na kesi ndogo yaani "trial within trial".

Msingi wa kesi ile ndogo ilikuwa maandishi au maelezo ya mtuhumiwa mmoja yasipokelewe kama ushahidi. Sasa hivi kidogokidogo tutaanza kuona akina Kibatala, Mallya walitumia akili ya ziada ambayo wote hatukuiona.

Pamoja na polisi kuendeshwa sana kwenye ile kesi ndogo hadi nchi nzima tukajua PGO polisi hawajui PGO bado ilikuwa ni vigumu kina Kibatala kushinda. Naamini hata akina Kibatala walijua wasingeshinda lakini kuna kitu walikuwa wanakiweka

Kwa nini hawakushinda na walijua hawatashinda? Hoja pale si polisi kuijua au kutoijuaPGO . Hoja kubwa pale ilikuwa kwamba kama mtuhumiwa aliandika maelezo kwa hiari yake au aliteswa ndipo akalazimishwa kuyaandika baada ya mateso.

Maadam mtuhumiwa alikiri kwamba ameandika lakini kwa mateso jaji hakuwa na namna ila kuitupilia mbali kesi ile. Ni vigumu kwa jaji au mtu yeyote kuthibitisha kwamba mtuhumiwa aliteswa ndipo akaandika maelezo.

Hapa msingi ni uleule kwamba huwezi kuandika maelezo halafu mbele ya jaji uyaruke kwa kisingizo cha "typographical error" au cha kuteswa kabla ya kuyaandika.

Hivyo, polisi, serikali na mahakama hawakujua wanachokitaka akina Kibatala na kimsingi walitaka ile hukumu ije vilevile kama ilivyokuja, yaani washindwe. Na akina Kibatalla walishindwa kama walivyotaka.

Sasa kushindwa kwa akina Kibatala kuna msaada gani kwako?

Ukiangalia kesi inavyokwenda sasa ndiyo utajua kwa nini walitaka washindwe kesi.

Hebu angalia wanachokifanya sasa hivi. Huwasikii tena wakiuliza maswali ya PGO. Wanajikita sana kushambulia ushahidi wa polisi unaoletwa mahakamani.

Wanasoma maelezo ya shahidi wa serikali aliyoyaandika kisha wanalinganisha na anachosema mahakamani. Kwa kufanya hivyo wamefaulu kukuta ujinga mwingi kwenye ushahidi wa polisi na mashahidi wote wanaoletwa na serikali

Mwisho wa siku ni kwamba kila polisi (shahidi) mmesikia akisema "hapo nilikosea kiandika" au wakisema hilo kosa ni "typographical error" kama alivyosema wa jana.

Hii maana yake akina Kibatala, Mallya na wenzao wameshafaulu kuiweka mahakamani katika kitanzi. Maana yake ushahidi wote wa maandishi jaji sasa hana mamalaka ya kuukataa. Hana mamlaka ya kuona kwamba hiyo ni "typographical error".

Mahakama hiyohiyo ilikataa mtuhumiwa kubadili ushahidi wake kwa kisingizo cha kuteswa hivyo ushahidi huo utaingia mahakamani.

Sasa polisi nao ushahidi wao hautaruhusiwa kubadilishwa. Alichoandika mtuhumiwa kitahesabika kama ushahidi na alichoandika polisi kitatumika kwenye hukumu. Hapa akina Kibatala wamecheza kama Pele na ilikuwa vigumu kugundua.

Kimsingi kama mahakama ilinuia kumfunga Mbowe kwa mbinu hii ya kina Kibatala imewashinda na inawezekana serikali inaweza isilete mshahidi wengi kama tulivyodhani

Vilevile mojawapo ya kesi muhimu kwa kesi hii ni ile ya Mahakama ya Rufani ya "Harish Ambaram Jina (By His Attorney Ajar Patel) v. Abdulrazak Jussa Suleiman".

Katika kesi hii mahakama iligundua tatizo kwenye malezo ya Patel yeye akajitetea kwamba alikosea kuandika yaani "typographical error".

Mahakama ya Rufani ikakataa utetezi huo ikamwambia "kama ulikosea kuandika "typographical error" basi ulitakiwa kurekebisha kabla ya siku ya kusikilizwa kesi". Kipindi cha jaji kusikiliza kesi siyo cha kurekebisha document.

Hivyo, akina KIbatala, Mallya naamini kesi hii wanaijua lakini kama hawaikumbuki basi iko kwenye ukurasa wa 134 wa ripoti za kesi Tanzania za mwaka 2004 yaani [2004] T.L.R. 134.

Wasalaam
Mtu wenu ahataokolewa na mawakili wasomi wanaharakati
 
Umechambua kwa akili ya ziada.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mpumbavu mkubwa wee! Yaani mabalozi wanapewa ushahidi kabla ya mahakama! Wanaoneshwa ili iweje?
shida yako wewe huna akili. wazungu awali walikuja juu sana, umejiuliza kwanini sasahivi wamenyamaza hawamtetei tena kipenzi chao? haujui kama wazungu pia wana intelijensia yao kwa kupitia watanzania tena wengien wapo serikalini? ndio maana huwa mnafungwa kwasababu mnaendesha mambo kwa jazba na siasa wakati akili mmezikalia. mnapokuja kusimama mmeshafungwa. pyuuuuuu
 
Hapana yule ni ngumbaru with no excuse

Tungeweza kumsamehe kwamba alisikia tofauti kwenye terrorism akajua ni tourism lakini kwenye terrorist kua ni ugaidi hapana aisee
🤣🤣🤣 Mkuu nimewaza sana mpaka nikajifikiria au alisikia kitu kama tourism?
Ni ngumu kuamini msomi kama huyo anayetegemewa na anafanya kazi maabara kama hio halafu kimombo '0'.

Engage anakuambia ni uchunguzi 🤣🤣🤣
 
Juzi nilikuwa kule Maria Space jamaa alikuwa anaongea toka kijiji kimoja kule mpanda alielezea jinsi watu kule wanavyofuatilia kwa kuu karibu mno kesi ya Mbowe na wenzie. Je ni vijiji vingapi kama hicho cha mpanda ambacho Watanzania wanafuatilia kesi hiyo kwa karibu kila siku? Na katika bandiko langu nilibold neno moja muhimu sana.

Hao wanaofuatilia ndiyo hiyo 20% niliyobakiza.Ukweli hii kesi inasikitisha,acha tuone mwisho wake utakuwaje?
 
Umeandika mengi ambayo hayana uhusiano na kinachoendelea mahakamani, Jf great thinkers wanafuatilia kesi kwa undani na kujibu hoja kutokana na jinsi mashahidi wanavyotoa ushahidi, yaani mwenendo wa kesi

Asante sana Muheshimiwa GREAT THINKER
 
Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error".

Je, sheria na mahakama zinasema kuhusu hiki kinachoitwa "typographical error"?

Ukweli ni kwamba mtu unaweza kukosea kuandika kitu tofauti na ulivyotarajia. Ila wakati wa kusahihisha "typographical error"? jaji hajaanza kusikiliza kesi.

Bahati nzuri kesi hii imeenda hivyo upande wa akina Mbowe. Kama mnakumbuka wiki mbili zilizopita akina Kibatala, Mallya na wenzao waliomba kuwe na kesi ndogo yaani "trial within trial".

Msingi wa kesi ile ndogo ilikuwa maandishi au maelezo ya mtuhumiwa mmoja yasipokelewe kama ushahidi. Sasa hivi kidogokidogo tutaanza kuona akina Kibatala, Mallya walitumia akili ya ziada ambayo wote hatukuiona.

Pamoja na polisi kuendeshwa sana kwenye ile kesi ndogo hadi nchi nzima tukajua PGO polisi hawajui PGO bado ilikuwa ni vigumu kina Kibatala kushinda. Naamini hata akina Kibatala walijua wasingeshinda lakini kuna kitu walikuwa wanakiweka

Kwa nini hawakushinda na walijua hawatashinda? Hoja pale si polisi kuijua au kutoijuaPGO . Hoja kubwa pale ilikuwa kwamba kama mtuhumiwa aliandika maelezo kwa hiari yake au aliteswa ndipo akalazimishwa kuyaandika baada ya mateso.

Maadam mtuhumiwa alikiri kwamba ameandika lakini kwa mateso jaji hakuwa na namna ila kuitupilia mbali kesi ile. Ni vigumu kwa jaji au mtu yeyote kuthibitisha kwamba mtuhumiwa aliteswa ndipo akaandika maelezo.

Hapa msingi ni uleule kwamba huwezi kuandika maelezo halafu mbele ya jaji uyaruke kwa kisingizo cha "typographical error" au cha kuteswa kabla ya kuyaandika.

Hivyo, polisi, serikali na mahakama hawakujua wanachokitaka akina Kibatala na kimsingi walitaka ile hukumu ije vilevile kama ilivyokuja, yaani washindwe. Na akina Kibatalla walishindwa kama walivyotaka.

Sasa kushindwa kwa akina Kibatala kuna msaada gani kwako?

Ukiangalia kesi inavyokwenda sasa ndiyo utajua kwa nini walitaka washindwe kesi.

Hebu angalia wanachokifanya sasa hivi. Huwasikii tena wakiuliza maswali ya PGO. Wanajikita sana kushambulia ushahidi wa polisi unaoletwa mahakamani.

Wanasoma maelezo ya shahidi wa serikali aliyoyaandika kisha wanalinganisha na anachosema mahakamani. Kwa kufanya hivyo wamefaulu kukuta ujinga mwingi kwenye ushahidi wa polisi na mashahidi wote wanaoletwa na serikali

Mwisho wa siku ni kwamba kila polisi (shahidi) mmesikia akisema "hapo nilikosea kiandika" au wakisema hilo kosa ni "typographical error" kama alivyosema wa jana.

Hii maana yake akina Kibatala, Mallya na wenzao wameshafaulu kuiweka mahakamani katika kitanzi. Maana yake ushahidi wote wa maandishi jaji sasa hana mamalaka ya kuukataa. Hana mamlaka ya kuona kwamba hiyo ni "typographical error".

Mahakama hiyohiyo ilikataa mtuhumiwa kubadili ushahidi wake kwa kisingizo cha kuteswa hivyo ushahidi huo utaingia mahakamani.

Sasa polisi nao ushahidi wao hautaruhusiwa kubadilishwa. Alichoandika mtuhumiwa kitahesabika kama ushahidi na alichoandika polisi kitatumika kwenye hukumu. Hapa akina Kibatala wamecheza kama Pele na ilikuwa vigumu kugundua.

Kimsingi kama mahakama ilinuia kumfunga Mbowe kwa mbinu hii ya kina Kibatala imewashinda na inawezekana serikali inaweza isilete mshahidi wengi kama tulivyodhani

Vilevile mojawapo ya kesi muhimu kwa kesi hii ni ile ya Mahakama ya Rufani ya "Harish Ambaram Jina (By His Attorney Ajar Patel) v. Abdulrazak Jussa Suleiman".

Katika kesi hii mahakama iligundua tatizo kwenye malezo ya Patel yeye akajitetea kwamba alikosea kuandika yaani "typographical error".

Mahakama ya Rufani ikakataa utetezi huo ikamwambia "kama ulikosea kuandika "typographical error" basi ulitakiwa kurekebisha kabla ya siku ya kusikilizwa kesi". Kipindi cha jaji kusikiliza kesi siyo cha kurekebisha document.

Hivyo, akina KIbatala, Mallya naamini kesi hii wanaijua lakini kama hawaikumbuki basi iko kwenye ukurasa wa 134 wa ripoti za kesi Tanzania za mwaka 2004 yaani [2004] T.L.R. 134.

Wasalaam

You may be daydreaming. This case isn’t all about illegal possession of a firearm!
 
Hayo hapo juu yanaathiri nini ushahidi wa prosecution hasa ikizingatiwa shahidi hajui kiingereza, ameulizwa kwa kiswahili, maelezo yaliandikwa kwa kiswahili, na wapo mashahidi wengine wanatarajiwa kuitwa pengine kana kwamba ushahidi wa mtu mmoja tu huyo hata ukiwekwa pembeni utaangaliwa ushahidi wa wengine?

Kujua kiswahili cha terrorist/terrorism au kutojua kunafifisha charge aliyosomewa? wakati pengine ameshaeleza maelezo ya nini maana ya ugaidi?.....je? wamejua nini lengo la prosecution kumwita shahidi huyo?

Kwamba walimwita kuja kuthibitisha nini among others kwasababu kuna wakati prosecution wanaweza kuita shahidi kuja kuthibitisha kitu kimoja tu miongoni mwa vingi na vingine vitathibitishwa na mashahidi wengine na akishathibitisha kile wanachokitaka tu wanakuacha tu wewe uulize maana za terrorism na matakataka yako yoote na kesi yao inabaki imesimama.

Ndio maigizo wanayoyafanya hao mawakili wenu. kwa bahati nzuri nilishawahi kuwa prosecutor na ninawaonea huruma chadema kwasababu kwa wanachokifanya mawakili wenu mtakuja kulia.
Swali la msingi ni hilo la kwanza hapo hilo la pili nimakidai tu ya wakili.
 
Wewe siyo JF greater thinker, unawezaje kusema wabongo hawafuatlii kinachoendelea mahakamani bila hoja wala utafiti ila kwa mawazo yako, je kufuatilia mahakamani ni mpaka ufike mahakamani, je Habari na mwenendo wa kesi unatangazwa au umesusiwa,

Wewe hebu nipishe huko,Kutokuwa Great Thinker kwangu kunakuhuhusu nini? Unahangaikaje kujibu hoja ya asiyekuwa Great Thinker,maana naona unapuyanga na hili neno kila mahari utadhani ndiyo umeligundua leo.Haya pita kule.
 
shida yako wewe huna akili. wazungu awali walikuja juu sana, umejiuliza kwanini sasahivi wamenyamaza hawamtetei tena kipenzi chao? haujui kama wazungu pia wana intelijensia yao kwa kupitia watanzania tena wengien wapo serikalini? ndio maana huwa mnafungwa kwasababu mnaendesha mambo kwa jazba na siasa wakati akili mmezikalia. mnapokuja kusimama mmeshafungwa. pyuuuuuu
Bila shaka akili yako imenajisiwa! Yaani unadhani nchi inaendeshwa kipumbavu namna hiyo mpaka kuwaingiza wazungu katika vyombo vya maamuzi na dola! Hujui kuwa hawaruhusiwi kujadili mambo ya mahakamani kama wanadiplomasia? Huo ulionao ni uzuzu ni heri kichaa wa Mirembe anajitambua! Sasa kwa nini wanakwenda kusikiliza kesi mahakamani kama wamepewa ushahidi tayari?

Wewe ni mshenzi tu!
 
Back
Top Bottom