Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

hayo hapo juu yanaathiri nini ushahidi wa prosecution hasa ikizingatiwa shahidi hajui kiingereza, ameulizwa kwa kiswahili, maelezo yaliandikwa kwa kiswahili....
Hata kama mzee, ni aibu kubwa that's why mahakamani watu walicheka🤣,

Yaani kwa jinsi alivyoelezea wasifu wake haswa elimu aliyonayo, na kusoma nchi za ng'ambo, anafanya kazi maabara kubwa kama hio, anaandika report halafu hajui maana ya engage na terrorism?🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣

Aisee ni aibu mno, nahisi alichanganya tourism na terrorism 🤣🤣😂🤣😂🤣🤣

Jamaa amejiabisha na anajuta kuitwa kama shahidi na kiherehere chake, waanze kuchunguza vyeti vyake🤣😂😂🤣🤣

Mungu kamuumbua🤣😂🤣😂🤣

#terrorismniutalii
 
Wanasheria wataje ili tuwarecommend bro
 
Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error"...
Umechambua na kueleza vizuri kabisa lakini je ndio mlengo wao hao wanasheria
 
Dalali!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe Ni takataka kumbe with a new ID
 
Inaathiri nini kwenye ushahidi wa prosecution, si umebaki umesimama? shauri yenu.
 
hayo hapo juu yanaathiri nini ushahidi wa prosecution hasa ikizingatiwa shahidi hajui kiingereza, ameulizwa kwa kiswahili, maelezo yaliandikwa kwa kiswahili, na wapo mashahidi wengine wanatarajiwa...

Hawatakuewa hapa,wewe wape muda tu watarudi tena hapa kupiga mayowe mwisho wa kesi.Kwa sasa kila mtu hapa anajiona ni nguli wa kuchambua kinachoendelea Mahakamani,

Kwamba ushindi kwao ni kutoa update hapa mitandaoni,umewashauri vizuri sana swala la kutafuta Wanasheria nguli wa kesi za jinai,lakini hawatakuelewa,wao kwao Kibatala ndiyo kila kitu,wanamuona mbobezi kwenye nyanja zote za kisheria.
 

Kwahiyo hilo tu ndiyo linakufanya uwe confortable na mwenendo wa kesi la watu kucheka Mahakamani? Ungejaribu kumwelewa hoja yake kwanza.

Nachokiona hapa ni siasa nyingi tu inaendelea kuliko uhalisia na ndiyo maana vitu vidogo kama hivyo ndiyo vinamake headlines hasa hapa JF maana kumejaa reporters ambao wana mlengo mmoja, lakini mwisho wa siku yale yale ya PGO yatakuja kujiriudia,na tutajazana hapa kutoa stress na makasiriko yetu mwisho wa kesi hii.

Watafutwe Wabobezi wa Sheria za makosa ya Jinai wadeal na hii kesi kumuokoa M/Kiti ambae naamini hana hatia, lakini kama mnataka tuendelee na kujaza thread za kuchekesha, mwisho wa siku hao kina terrosism ni Utalii wataibuka kidedea ndipo mtabaki midomo wazi.
 
Kwa hii kesi nadhani mh Tundu lissu angekuwepo nchini angeupiga mwingi sana
 
Kwa ushahidi huu waking’ang’ania kumfunga basi kunaweza kutokea fujo kubwa sehemu nyingi nchini siku ya hukumu na kuendelea mbele.
Wanalazimisha ili kumridhisha Hangaya ila watakuja kuaibika vibaya sana na hii kesi yao uchwara ya kubumba
 
Reactions: BAK
Unataka watumie mamluki wa ccm ?!
 
Aisee, bila shaka wewe ni HAKIMU ZUZU.
 
Unaandika maneno meeengi lakin utopolo mtupu!!!
Huyo Shahid wa 2 wa Jamhuri, inakuaje tarehe 20/8/2020 anayosema yupo na Mbowe Longido... lakin tarehe hiyohiyo alikuwa amekamatwa yupo gerezani ukonga. Yani unawezaje kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja, sehemu ambazo zinatofautiana kadri ya km 750? Alitoka gerezani saa 3 usiku akaenda na ndege Longido akaonana na Mbowe, halaf alipomaliza akapanda ndege tena ikamrudisha magereza?

Swali.... ushahidi wa shahid wa 3 uliandikwa kwa kiswahili? Una uhakika? Ripoti ya ushahidi wa silaha kutoka laboratory ya ballistic imeandikwa Kiingereza...umeiona!?? Je kuna ushahidi mkubwa zaidi ya hiyo ripoti? Kama ushahidi uliandikwa kwa kiswahili kichwa cha habari cha ripoti hiyo kuna maneno yalikosewa kama conspiracy yakaandikwa "consipirancy" hicho ni kiswahili?.... kwanza umeona hiyo ripoti ya huyo mtu wa ballistic imeandikwa kwa lugha gani?

Pili huyo Shahid wa 3 wa Jamhuri wa ballistic.. inakuaje unaleta maganda mawili ya risasi ya bunduki moja yanayotofautiana? Yaani yanayotumika kwenye bunduki tofauti? Halaf hapohapo anasema ni maganda ya risasi ya bastola moja, Kuna ushahidi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…