Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

Hii ni forum ya maelezo, toa maelezo.

 
Shahidi kapigwa Lupango mwezi wa nane 2020, lakini cha ajabu akakutana na Mh. Mbowe Mwezi October 2020 ha ha haha sasa sijui alipanda ungo kuvuka senyenge za mageleza.

Hii kesi aisee.
 
Sasa wewe ndugu kuna shahidi gani Kati ya hao watu - Kingai, Power Kaaya na kopolo wa maabara ya bunduki na milipuko ambaye ametoa coherent evidence; self au across!
Kwa mtu mwenye akili timamu anajua kinachoendelea hapo Mahakamani. Hakuna sababu ya kutishana, eti 'ngoja uone'!
 
Nyooooo
 
Naelewa frustrations ulizonazo kuzaliwa na kulelewa nnje ya Ndoa ni trauma itakayokutesa mpaka unaingia kaburini.Pole lakini,msamehe Mama yako na yeye hakupenda iwe hivyo.
Mwambie mama yako akuambie baba yako wa kweli
 

Chapwa, nadhani ambacho alidanganywa ni pale alisema “……..washitakiwa wengine walishahukumiwa na wanatumikia vifungo vyao ……….”

Kwa hilo tu, unadhani ni ukweli huku watu hao hao wako mahakamani leo na kesi haijafikia hata majumuisho, au kusubiri hukumu??

Acha kuwa emotional na neno “waongo”. Ukweli kawaida unatabia ya kuumiza na kuleta vijisababu - acha kumtisha jamaa eti yuko kiganja cha watu!! Jiulize tu Rais alisema ukweli na kama haukuwa ukweli - aliyempa mrejesho huo alimwambia ukweli???
 
Kuna mtu kaniambia maneno kama haya leo, japo sikumwelewa sana maana sina utaalamu katika mambo haya ya sheria
 
Hakuna prosecutor mjinga kama ww

Huko maabara hakuna ushahidi wowote ulioletwa huko , kupima kifaa ki hai au sio hai ni ushahidi gani?

Ushahidi uliokua unahitajika na wenye mashiko and ni

1. Ni nani mmiliki halali wa silaha
2. FInger print
3. DNA test
4. Fiber

Huo ndio ushahidi

Lkn hata hivyo hauna maana manake hakuna sehem silaha imefanya tukio , ni sawa na mtu akukute na panga Barabaran uko kwenye mishe zako akukamate aseme ulitaka kuua mtu ushahid n panga ulilolokua nalo

Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…