- Thread starter
- #41
Nitakapokuwa rais mwaka 2035 kolikoli nao mahakamani.
Leo Kabila anataka tume huru Congo. Si sahihi kutowafundisha baadhi ya watu kwa vitendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakapokuwa rais mwaka 2035 kolikoli nao mahakamani.
Duuu maajabu haya, lakini hawa wenzetu hawajifunzi loloteLeo Kabila anataka tume huru Congo. Si sahihi kutowafundisha baadhi ya watu kwa vitendo.
Duuu maajabu haya, lakini hawa wenzetu hawajifunzi lolote
Ni kweli,hasa katika nchi za kipuuzi kama Tanzania ambapo watu kwa ujasiri kabisa, wanaweza kutengeneza kesi na kumsingizia mtu ili wamfunge tu,Kujaa mahakamani hakutomsaidia Mbowe kushinda kesi yake ,waacheni wanasheria wamsaidie nao baada ya kumsaidia wanafanya maigizo na mikogo siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani ,ukiwa na kesi mahakamani jua kuna mstari mdogo sana unakutenganisha ww ,jela na uraiani .
Ni kweli,hasa katika nchi za kipuuzi kama Tanzania ambapo watu kwa ujasiri kabisa, wanaweza kutengeneza kesi na kumsingizia mtu ili wamfunge tu,
Hebu tueleze, hakuna pia wanaojaza mahakama watokanao na walofungua kesi? Wanaotaka nao washinde! Je, wao hawataki Mbowe afungwe?Kujaa mahakamani hakutomsaidia Mbowe kushinda kesi yake ,waacheni wanasheria wamsaidie nao baada ya kumsaidia wanafanya maigizo na mikogo siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani ,ukiwa na kesi mahakamani jua kuna mstari mdogo sana unakutenganisha ww ,jela na uraiani .
Hebu tueleze, hakuna pia wanaojaza mahakama watokanao na walofungua kesi? Wanaotaka nao washinde! Je, wao hawataki Mbowe afungwe?
Eti "...siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani...nk" - je, huu ni uthibitisho kuwa kuna walokwisha isoma hukumu yenyewe kabla ya hukumu kutolewa? kwamba hayo yanayo endelea mahakamani ni maigizo tu, kwamba wanaosema hukumu ishaandikwa ikulu wanajua wayasemayo!? Jua ya kwamba, hii kesi ina mvuto usio wa kawaida na watu wanashindwa kujizuia kuifatilia na sio wa CDM tu, hata wa CCM na hata wengine toka nchi za nje. WaTz wanafunguka kimawazo.
Kesi hii ni zaidi ya mahakama kutenda haki - ni pamoja na kurejelea hoja za Mbowe na waTz wengine kuhusu umuhimu wa katiba mpya. Ikiwa mgaka12 keshajua kuwa vilio vitatawala itakaposomwa hukumu... tuseme nini tena! Mungu na asimamie jambo hili
Kwenye maisha inawezekana mtu kutoka jela na kuingia ikulu,au mtu kutoka ikulu kwenda hela.Hata chief Hangaya, Majaliwa na Mh. Mpango hawadhani hala hala zinaweza kuwahusu.
Nani aijuaye kesho? Kwanini kama binadamu tusitendeane haki na usawa tu?
Kwenye maisha inawezekana mtu kutoka jela na kuingia ikulu,au mtu kutoka ikulu kwenda hela.
Mnatuchosha kila saa mbowe mbowe sasa kma mnampenda si musicale nayeKesi ya Mbowe imekuja na mengi.
Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:
View attachment 2000911
Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.
View attachment 2001599
Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.
Yote hayo kinyume cha sheria.
Kinara wa kuingilia mhimili huu ni kama anavyoonekana. Huyu bwana ambaye leo anaaminiwa kwa kila shitaka lake mahakamani.
Haki zipi ziendelee kutegemewa kutokea mahakamani?
Mnatuchosha kila saa mbowe mbowe sasa kma mnampenda si musicale naye
Yupo wapi magufuri
Hapa Mataga ya TGNP yamefu machoKesi ya Mbowe imekuja na mengi.
Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:
View attachment 2000911
Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.
View attachment 2001599
Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.
Yote hayo kinyume cha sheria.
Kinara wa kuingilia mhimili huu ni kama anavyoonekana. Huyu bwana ambaye leo anaaminiwa kwa kila shitaka lake mahakamani.
Haki zipi ziendelee kutegemewa kutokea mahakamani?
Hapa Mataga ya TGNP yamefu macho
Si bure ndugu yangu....binafsii nataka iendelee mpaka mwisho hata kama wana mpango wa kumfunga...ule ushindi wa mwanzo wa kuweza kulazimisha kuingia na simu na kuripoti live utawaweka uchi sana hawa polisi na majaji wa CCM....jinsi mshahidi wanavyokuja wapya na ushahidi wenyewe unazidi kuvurugika kwa kasi....

Kwann wanazuia watu kuingia mahakamani,shida ni nnKujaa mahakamani hakutomsaidia Mbowe kushinda kesi yake ,waacheni wanasheria wamsaidie nao baada ya kumsaidia wanafanya maigizo na mikogo siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani ,ukiwa na kesi mahakamani jua kuna mstari mdogo sana unakutenganisha ww ,jela na uraiani .
Kwann wanazuia watu kuingia mahakamani,shida ni nn