Kesi ya Mbowe: Mahakamani kunapozidi Kumong'onyoka

Kujaa mahakamani hakutomsaidia Mbowe kushinda kesi yake ,waacheni wanasheria wamsaidie nao baada ya kumsaidia wanafanya maigizo na mikogo siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani ,ukiwa na kesi mahakamani jua kuna mstari mdogo sana unakutenganisha ww ,jela na uraiani .
Ni kweli,hasa katika nchi za kipuuzi kama Tanzania ambapo watu kwa ujasiri kabisa, wanaweza kutengeneza kesi na kumsingizia mtu ili wamfunge tu,
 
Umelipiga kwa kitu kizito 😁😁
 
Kujaa mahakamani hakutomsaidia Mbowe kushinda kesi yake ,waacheni wanasheria wamsaidie nao baada ya kumsaidia wanafanya maigizo na mikogo siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani ,ukiwa na kesi mahakamani jua kuna mstari mdogo sana unakutenganisha ww ,jela na uraiani .
Hebu tueleze, hakuna pia wanaojaza mahakama watokanao na walofungua kesi? Wanaotaka nao washinde! Je, wao hawataki Mbowe afungwe?
Eti "...siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani...nk" - je, huu ni uthibitisho kuwa kuna walokwisha isoma hukumu yenyewe kabla ya hukumu kutolewa? kwamba hayo yanayo endelea mahakamani ni maigizo tu, kwamba wanaosema hukumu ishaandikwa ikulu wanajua wayasemayo!? Jua ya kwamba, hii kesi ina mvuto usio wa kawaida na watu wanashindwa kujizuia kuifatilia na sio wa CDM tu, hata wa CCM na hata wengine toka nchi za nje. WaTz wanafunguka kimawazo.
Kesi hii ni zaidi ya mahakama kutenda haki - ni pamoja na kurejelea hoja za Mbowe na waTz wengine kuhusu umuhimu wa katiba mpya. Ikiwa mgaka12 keshajua kuwa vilio vitatawala itakaposomwa hukumu... tuseme nini tena! Mungu na asimamie jambo hili
 
Hii kesi si bure:

Hata chief Hangaya, Majaliwa na Mh. Mpango hawadhani hala hala zinaweza kuwahusu.

Nani aijuaye kesho? Kwanini kama binadamu tusitendeane haki na usawa tu?
Kwenye maisha inawezekana mtu kutoka jela na kuingia ikulu,au mtu kutoka ikulu kwenda hela.
 
Inahitajika hekima kubwa kutoka kwa walio madarakani kuufahamu ukweli huo.

"Mwenye shine ni nadra kumjua mwenye njaa."
 
Kesi ya Mbowe imekuja na mengi.

Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:

View attachment 2000911

Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.

View attachment 2001599

Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.

Yote hayo kinyume cha sheria.

Kinara wa kuingilia mhimili huu ni kama anavyoonekana. Huyu bwana ambaye leo anaaminiwa kwa kila shitaka lake mahakamani.

Haki zipi ziendelee kutegemewa kutokea mahakamani?
Mnatuchosha kila saa mbowe mbowe sasa kma mnampenda si musicale naye
 
Mburumundu anapotutaka tufuate nyayo zake:

Kesi ya Mbowe imekuja na mengi.

Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:

View attachment 2000911

Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.

View attachment 2001599

Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.

Yote hayo kinyume cha sheria.

Kinara wa kuingilia mhimili huu ni kama anavyoonekana. Huyu bwana ambaye leo anaaminiwa kwa kila shitaka lake mahakamani.

Haki zipi ziendelee kutegemewa kutokea mahakamani?
Hapa Mataga ya TGNP yamefu macho
 
Si bure ndugu yangu....binafsii nataka iendelee mpaka mwisho hata kama wana mpango wa kumfunga...ule ushindi wa mwanzo wa kuweza kulazimisha kuingia na simu na kuripoti live utawaweka uchi sana hawa polisi na majaji wa CCM....jinsi mshahidi wanavyokuja wapya na ushahidi wenyewe unazidi kuvurugika kwa kasi....
 
Kuendelea hadi mwisho, ni mawazo mazuri.

Kumfunga au kutokumfunga hilo lipo mikononi mwetu:

Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

Hukumu na ikawe ya haki vinginevyo patachimbika.
 
Kujaa mahakamani hakutomsaidia Mbowe kushinda kesi yake ,waacheni wanasheria wamsaidie nao baada ya kumsaidia wanafanya maigizo na mikogo siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani ,ukiwa na kesi mahakamani jua kuna mstari mdogo sana unakutenganisha ww ,jela na uraiani .
Kwann wanazuia watu kuingia mahakamani,shida ni nn
 
Lengo ni kujaribu kumtenga mwamba na jamii. Heri watende haki. Tuendako wakilikoroga zaidi mbona itakuwa umekuja kwao?
 
Back
Top Bottom