Kesi ya Mbowe: Makamanda Tunapopigwa Bao

Kama wanachama mbona tuko lukuki? Swali zuri sana.
Na mm naongezea, kwanini ni yeye tu ndo afanye yote?
 
Leteni uchaguzi huru muone Moto wake [emoji1][emoji1]
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa! Hii kesi ni matokeo ya kile kilichoitwa 'choko choko'

Hii kesi ni ya kupotezea tu watu muda! Maana haina uhalisia wowote. Hakuna cha ugaidi wala uhujumu uchumi.

Hatuwezi kuacha kufuatilia kinachojili mahakamani kama ambavyo hatuwezi kusitisha mapambano ya kudai katiba mpya.

Kwamba hata wanamshikilia kamanda Mbowe na washirika wetu, mapambano yanatakiwa kuongezwa zaidi.
 
Nani anataka haki? Mbowe? Mbowe yuko kibiashara tu. Mwaka 2015 aliingiza Tsh 10 Bilion kwa kumuuzia nafasi ya urais Edward Lowassa na kimdhulumu Dr Slaa. Nyie akina brazaj mnaitikia CHORUS ya wimbo msioujua

Kwa hiyo tuseme Huihui2 kama alivyo Kaaya, Idugunde, Kamanda Asiyechoka na binamu zenu ndiyo tuwaone leo mmejawa na moyo wa huruma? Kwamba ghafla mnatuhurumia sisi 😁😁?

Sisi mbona tunawaona nyie ndiyo wachawi wenyewe?

Hivi mmemficha wapi Moses Lijenje?

Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

Utakuwa kada ipi wewe usiyetaka katiba mpya kama wewe siyo mmoja wa wachawi hawa tu?
 
Wale mashahidi upande wa manjagu wanavyojigonga gonga hadi aibu lakini maamuzi yote yanawabeba wao saa hizi sifatilii kama mwanzo nasoma vitu kama utalii,ugaidi na mengineyo...jumatatu sijui watakuja na ushahidi gani tucheke

Inajulikana hawana hoja bali kununua muda kwa kadri iwezekanavyo.

Hapa ndipo makamanda tunapaswa kupaona na kucheza kivyetu vyetu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
chadema wanapoteza muda. mwanasheria pekee anayejua kupambana na serikali alikuwa Tundu Lisu, kichwa cha udsm kile acha tu. sio mbaguzi wa vyuo lakini ukweli upo wazi. Kibatala ni mburura anayewaponza chadema kila wakati. hapa dsm kuna wanasheria wengi sana wa criminal bora mara mia ya huyo dogo, dogo sio mwanasheria, ni mwanasiasa ndio maana mara zote huwa anashindwa kesi. waulize sugu masonga na waliowakilishwa naye kesi kibao tu. nimeanza kumwamini kigogo anayewaambia wamefeli kwenye kuajiri wanasheria wakaajili wanaharakati na watu wanaotumia zaidi jazba badala ya hoja za kisheria. kibatala ni mtu mwenye jazba na huwa hatumiii akili za kisheria. simshambulii lakini huu ukweli kuna siku chadema mtakuja kuujua. kichwa cha mzumbe kile sio kama vya mzumbe wenzake vilivyo. sitaki kutaja wanasheria mahiri wa criminal hapa ambao chadema wangewatumia, lakini naamini Tundu Lisu anawajua anaweza kuwapigia simu kuwashauri. povu ruksa.
 
Kesi hii iwe kichocheo kuipata katiba mpya watanzania 60m,iweje mzee wavilipuzi na wapuuzi wenzie watuzuie kupata katiba mpya, Kwa kesi Yao ya kipuuzi.
 

😁😁

 
Maushungi kanuia kumfunga Mbowe kwa miaka 30 au maisha ili maccm wamuone mashujaa ila hajui anatengeneza chuki za kutisha nchini ambazo zinazidi kuisambaratishs nchi.

Atavuna anayopanda na malipo ni hapa hapa duniani.
 
Reactions: BAK
cha ajabu nini hapa? au jf nayo ni ya chadema kwamba tusiexpress different opinions?

Wewe ni wa kuishauri Chadema mjomba?

Shauri wenzio mmwachie Moses Lijenje kama una chembe ya utu.

Chadema achana nayo siyo size yako.
 
Kijana katafute pesa, hao kina Mbowe na Lissu ni wajasiriamali wa siasa tu. I swear utakuja kunishukuru
 
Kijana katafute pesa, hao kina Mbowe na Lissu ni wajasiriamali wa siasa tu. I swear utakuja kunishukuru
hili jambo nilikuwa silijui hadi nilipofumbuka macho. mmoja anajenga hotel yake karibu na Kisasa Dodoma nimeonyeshwa ninatamani na mimi niwe mwanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…