Kesi ya Mbowe: Makamanda Tunapopigwa Bao

Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Bwire, au Lijenje wanakuhusu nini wakulungwa wewe?

Inafahamika kuwa mnaojali maslahi yenu binafsi tu, na msiojulikana mmo.

Yuko wapi Moses Lijenje?
 
Wenzetu wote waliofanikiwa kujikomboa na wako vizuri ni wale tu

1. Walio kwishaviondoa vyama vilivyo achiwa madaraka na wakoloni.

Au:

2. Haziko chini ya utawala ulio ingia kupitia mtutu wa bunduki.
Ni ukweli usio kwepeka mkuu
Uchungu wa dawa ndo tiba yake

Hakuna mabadiliko pasipokuwa na mapinduzi

Wazee wetu waliyatoa sadaka maisha yao kwa ajili yetu

Nasi hatuna budi kuyapambania masirahi ya kizazi chetu kijacho

Chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho zama za chama tawala zinepitwa na wakati

Mapinduzi ni muhimu
 
Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Bwire, au Lijenje wanakuhusu nini wakulungwa wewe?

Inafahamika kuwa mnaojali maslahi yenu binafsi tu, na msiojulikana mmo.

Yuko wapi Moses Lijenje?
Mbona ndugu zake huyo Moses Linjenje hatujawahi wasikia wakimtafuta? Yawezekana ni parody name kama brazaj
 
Mbona ndugu zake huyo Moses Linjenje hatujawahi wasikia wakimtafuta? Yawezekana ni parody name kama brazaj

Kiingereza kigumu mjomba Cpl. Abdallah anaweza kukupa mrejesho zaidi 😁😁.

Nduguze Moses Lijenje ndiyo sisi.

Hukuwahi pia kuwasikia ndugu zao Lissu, Ben, Mawazo, Azory, au waliokuwa kwenye viroba?

Ndugu zao tulikuwa sisi.

Ndiyo maana waungwana walitambua:

"Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja."

Mburula asiyejulikana ayaelewe wapi hayo?

Mtamtapika Moses Lijenje bila kujali itachukua muda gani.
 
Unasomeka vyema. Mapinduzi ni muhimu na hayakwepeki.

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
Nimhumu uongozi CHADEMA ufanye vyote kwa mpigo: Kuendesha kesi na kuhamasisha madai na makongamano ya katiba mpya.
 
Nimhumu uongozi CHADEMA ufanye vyote kwa mpigo: Kuendesha kesi na kuhamasisha madai na makongamano ya katiba mpya.

Waliopo madarakani hawapo kwa ridhaa ya umma. Huwezi kuwa madarakani kama haki, usawa, uhuru na demokrasia si agenda zao.

Hawa ni wa wabakaji tu kama walivyo wanaostahili mvua 30.

Kwamba waliingia madarakani kwa agenda ipi basi ambayo tuseme hiyo ndiyo iliyowavutia watu kuwaweka madarakani?

Watakuwaje na nia ya mazumgumzo hao?
Hawana nia ya mazumgumzo wala hawawezi kuwa na nia hiyo.

Mwenye maamuzi ya hatima ni sisi si wao.
 
Unasomeka vyema. Mapinduzi ni muhimu na hayakwepeki.

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
Mkuu jiulize wazee wetu wasinge fight mambo yangekuweje kwa sasa

Tuachane na siasa mapinduzi katika taifa ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa

Kama sio ivo tutapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kizazi hadi vizazi vyote vijavyo
 
Huko Mahakamani nafatilia vituko tuu muhuni anatoa CV masaa mawili kasoma Botswana mara China mambo ya vilipuzi harafu bado anasotea V...kiingereza cha kawaida tuu fungua mlango na funga hajui sijui huko Botswana alikua anaongea lugha gani..

si unaona kama hapa ushaanza kumfikiria coplo na mbavu zake badala ya kesi ya msingi[emoji81][emoji81][emoji81]

ccm wanajua sana vichwa vya wapinzani vikoje.naichukia sana ccm mimi sababu najua imejichimbia chini kuliko nguvu dhaifu inayofikiri inaweza kuing'oa.
 
Na unafaham ulichoandika ni ujinga ujinga hivi, na umetoa ufaham kwa makusudi.
 
Lakini ccm wenye uwezo hawatumii uwezo wao bila ya policcm.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Yaani wewe na hao watoto wako mtaishia kuwa wajinga wajinga tu!
Kwa taarifa yako hiyo mipango yako na upatikanaji wa hizo pesa alkadhalika mafanikio ya watoto wako; tote ni michakato inayohitaji siasa na Katiba madhubuti!!
 
Endelea kukaririshwa Katiba mpya bila elimu ya Katiba kama utakula Katiba mpya
 
Yaani wewe na hao watoto wako mtaishia kuwa wajinga wajinga tu!
Kwa taarifa yako hiyo mipango yako na upatikanaji wa hizo pesa alkadhalika mafanikio ya watoto wako; tote ni michakato inayohitaji siasa na Katiba madhubuti!!

Kenge akisikia bila damu masikioni usiache kutuletea mrejesho 😁😁
 
Kwa hiyo makosa ya kudai katiba, kuwa mwenyekiti kwa miaka 18, ndo yanayo mfanya Mbowe kuwa gaidi? Kwa hiyo angetulia tu kwenye boxer asingekuwa gaidi?!
 
Kenge akisikia bila damu masikioni usiache kutuletea mrejesho 😁😁
Yaani watu wa hivyo akili zinaangalia Leo tu; akipata yeye na watoto wake anahisi amemaliza maisha.
Shenzi type kabisa! Wangekuwa wana alama usoni ukimuona unamfanyia displacement reaction!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…