Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

Hii kesi si ya kuifuta wala nini bora iendeleee tu ili tujue yalionyuma ya vyombo vyetu vya usalama, tanzania matukio mengi huwa yanafanywa na polisi lakini huwez kuyasikia hata kama ukiyasikia jua huo ni uongo tu, kesi ya mbowe ninaitazama katika sehemu tatu moja inaweza kuwa ni Inside job yaani ndani ya system na hapo kuna ujumbe na interest, Mbili kurudisha imani juu ya mahakama zetu maana wengi tunajua ni kama watu walikuwa hawana imani na mahakama hasa katika awamu ya 5, na tatu inawezekana kuna ukinzani mkubwa kuhusu katiba mpya maana kuna kundi linahitaji mabadiliko ila pia kuna kundi halitaki mabadiliko yoyote katika katiba na utalawa hivyo kunawezakana kuna mgongano wa kimaslahi au kuna ujumbe jamiii inafikishiwa katika indirect way kufuta kesi hiii ni kuendelea kuficha uchafu wa polisi na vyombo vya ulinzi
 
wenye akili zao hawewezi kuamini maneno ya uongo ya Ligwenya/ Adamoo, huyo ni mtuhumiwa wa Ugaidi anaye daiwa kumtumikia mtuhumiwa Mbowe.
kama walidhani wanaweza kupoteza amani yetu ya Tz basi wajue amani ya Tz lazima ilindwe kwa gharama yoyote ile.
 
Lingwenye na wenzake sasa wamebaki kutapatapa, maji ya shingo, watajuta kuchezea amani yetu.
 
wenye akili zao hawewezi kuamini maneno ya uongo ya Ligwenya/ Adamoo, huyo ni mtuhumiwa wa Ugaidi anaye daiwa kumtumikia mtuhumiwa Mbowe.
kama walidhani wanaweza kupoteza amani yetu ya Tz basi wajue amani ya Tz lazima ilindwe kwa gharama yoyote ile.
Hata mrembo naona yako pedi imejaa nenda kabadili urudi Tena hapa ukiwa msafi.
 
Wanayachukulia poa hawatazami athari yake.
 
wanaotaka hii kesi iendelee wana lao wanalotafuta
 
Namwona mabeyo "docile"
 
Mtoa mada hivi una taarifa ndugu yako akikamatwa anaweza asipatikane kituo chochote kwa kuwa polisi wanawapa watuhumiwa majina bandia..
Kazi ipo
Je Sirro kwa muundo huu anatarajia kuishije uraiani baada ya kustaafu?? Je anaamini muundo huo hakuna siku utawakuta hata ndugu zake au watoto wake??? Ukute mwanae kakamatwa baba pamoja na utumishi wake ndipo atakuta badala ya mkamatwaji kuitwa Nyakoro anatangazwa ni Ndahiro ina maana hatompata na hapo kutakuwa na kilio ba kusaga meno.
Hivi kwanini watumishi wengi wa umma huwa hawajiulizi kesho yao???
 
Mbowe na wenzake maji ya shingo, sasa wanatapatapa.
walidhani kuchezea amani ya nchi ni masihara!! ebo!!
 
je hawa makomandoo wakiachiliwa baada ya huu uonevu wa kina Kingai hatutoona ya Hamza kama haki haikutendeka???
 
Acha mnyukano uendelee ili tusikie mengi. Wamelikoroga wenyewe na walinywe wenyewe. "Freeman is not a terrorist".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…