2025 CCM LAZIMA out.
Iwe kwa heri au shari. Iwe kupitia ballot box au kuvurumishwa kama kina Gaddafi / Saddam!

#2025CCMOUT
Lisu au Lowasa wakisoma hii coment yako watacheka kwa dharau sana

[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Naona Pumzi zimekata mapema sana. Tunatumia kodi za wananchi kwa mambo ya ovyo ovyo wakati nchi yenyewe shida kibao. Viongozi waliokosa busara ndio watakaokuja kulichafua hili taifa.
 
mlifikirimmahakamani ni sehemu ya kwenda kudemka kisiasa ? tulieni hivyohivyo mvua zinamuhusu gaidi mbowe
Acha ufala wewe. Hamza alikuwa peke yake lakini aliwapelekesha saa 2 nzima utafikiri hamjahudhuria mafunzo CCP.
Tuambie Hamza na Mbowe nani gaidi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]
Eeeeeh ni wanjinga wanaanzisha varangati wakati ni weupe kichwani nikelele tu. Unafikir ujinga wanaoufanya kama si hayo mabunduki wangeweza nini labda kupambana na wanaume.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Freeman continues to score political and social points. It evident that the charges against him are fictitious. God bless Freeman and Chadema.
 
πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠβœŒοΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…