Hii kesi kama ikiachwa iendelee inakwenda kumwaibisha mtu.. hii kesi ni ya kuachana nayo haraka ili tusonge mbele kama taifa. Tunatakiwa kuanza mapema kumalizia mchakato wa katiba mpya ili kabla ya 2023 iwe tayari na tuanze kujiandaa kwa 2025.
Demka na mashairi ya tusonge mbele kama nini..ngoma hii hadi ifike mwisho hili bonge la series breaking bad haifui dafu. Either mwamba atoke huru ama ale mvua za kutosha
 
Idiotic comment
 
H
tulieni dawa iwaingie mashoga wa jf nyie waacheni wanaume waongee
Hivi wewe boya wa CCM unajua Kama tangu mwanzo mpka mwisho ni wewe tu unaeandika upuuzi!CCM wote Leo wamekukimbia hata Crimea amekukumbia .Nenda Lumumba na kondomu
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Labda huku kwenye kesi za kijima kesi ya Zuma tunaiona ikiendelea mahakamani...
 
"Wakati wa kesi yangu ya uchaguzi Mwaka 2012 .Mahakama kuu Arusha iliamuru msajili wa Mahakama kuweka utaratibu wa vipaza sauti nje ili watu wapate haki ya kufuatilia kesi iliyo kuwa ina endelea. Utaratibu huo uliwekwa pamoja na benchi za kukalia watu."
 
Updates baada ya kuzuiwa kwa Wananchi kuingia Mahakamani kusikiliza kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake na kupelekea Mawakili upande wa tetezi kutoka nje ya ukumbi wa mahakama, hatimae Jaji ameamuru wananchi kuingia mahakamani baada ya majadiliano ya faragha kati ya pande zote mbili.

Upande wa Jamhuri wameshindwa kuileza Mahakama kifungu cha sheria kinachokataza wananchi kuingia na simu na kutoa taarifa juu ya kinaendelea katika kesi Na. 16/2021, Jaji akasema hakuna sheria wala kanuni inayokataza watu kuingia na simu mahakamani. Kesi inaendelea.
 
Kesi iahirishwe mpaka January 2022 🤣🤣
 

Publicity man kuvipa vyombo vya Habari kutuandika vibaya, si wangejipanga kwa mashahidi wengine?
 
Safii,Sasa Kingai afuatwe huko bafuni alikojificha aendelee kubanwa mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…