aisee..... yaani jeshi linafanya kazi bila vifungu cha sheria bila kujua kwamba ukiwa mahakamani ukitoa kauli lazima uisindikizie na sheria. kazi ipo tena pevu.
Yaani kuna haja kubwa sana ya katiba mpya. Wana sheria wa serikali wana jiaibisha sana. Wana sahau kwamba wana takiwa kufuata sheria na sio kutumia dola kukandamiza sheria.
 
Ni jambo jema!

Mbowe ni Kiongozi mkubwa ulinzi lazima uimarishwe.
nyie wamama wa ccm muwe mnaweka akiba ya maneno

"Upande wa Jamhuri wameshindwa kuileza Mahakama kifungu cha sheria kinachokataza wananchi kuingia na simu na kutoa taarifa juu ya kinaendelea katika kesi Na. 16/2021, Jaji akasema hakuna sheria wala kanuni inayokataza watu kuingia na simu mahakamani"
 
mwisho wa mbowe ni huu hamuwezi kushindana na huu ushahidi unamfunga mbowe ni gaidi
Sawa ushahidi mnao. Sasa mnaogopa nini? Leteni watu wasikie na vyombo viripoti. Kule kwa Sabaya mbona kila kitu hadharani hadi tunachoka kusikiliza. Kwa Mbowe mbona mnabania? Mficha uchi hazai bwashee
 
Jaji mkuu ni mteule wa Mwenyekiti wa CCM, usijisahaulishe
 
mlifikirimmahakamani ni sehemu ya kwenda kudemka kisiasa ? tulieni hivyohivyo mvua zinamuhusu gaidi mbowe
Siyo kudemka, mnazuiaje wananchi kuingia mahakamani ? Mnaficha nini? Mbona kwa sabaya mmeachia? Au kwakuwa yule ni mbuzi wa kafara?
 
Ni ushauri mzuri sana.
Shida ni kwamba:
Washauri wa rais hawana uwezo sahihi kichwani,sifa yao moja kubwa ni kuwa na kadi ya CCM.
Oooh my poor Tanzania.
Naililia nchi yangu.

Inaangamizwa na watu wachache,kwa maslahi ya madaraka na fedha.

Mungu wafundishe, ama kwa maji, au kwa moto.

Amina.
 
Kesi iahirishwe mpaka January 2022 🤣🤣
Upande wa Jamhuri wameshindwa kuileza Mahakama kifungu cha sheria kinachokataza wananchi kuingia na simu na kutoa taarifa juu ya kinaendelea katika kesi Na. 16/2021, Jaji akasema hakuna sheria wala kanuni inayokataza watu kuingia na simu mahakamani.
 
Mpaka hapa Jaji Mustapher Mohamed Siyani amejitahidi kuonesha uhuru wa Mahakama Kuu na kuwa hakutakiwi ubaguzi ambao Polisi wanataka kuufanya.


Tujikumbushe :

justice system) nzima, lakini imani yetu bado ipo kuwa Mahakama hapa bila "mabano" ni mhimili huru na itatenda haki na kukataa mbinyo wa aina yoyote ile toka upande wowote.

Historia inasema makaburu waliokuwa ktk serikali ya kibaguzi ya Afrika ya Kusini iliona waAfrika raia wengine waliokuwa wanadai kuwa watu-uhuru, kutaka demokrasia shirikishi na Marndeleo ya watu wote walikuwa ni hatari na wangeweza kuchelewesha maendeleo ya vitu kama madaraja, reli, flyovers pamoja ni miradi mingine mikubwa iliyokuwa ya mfano barani Afrika. Madai hayo ya serikali ya kibaguzi ya wachache ya miaka hii yanarudiwa na CCM miaka hii ya 2015 - 2025. Na CCM pamoja na serikali yake kudai wapinzani ni watu hatari wasio na uzalendo na wasioitakia Tanzania maendeleo.

Soma utetezi wa Nelson Mandela alipofikishwa mbele ya korti na utetezi huo wa Nelson Mandela kuenziwa na watu wote duniani na taasisi kubwa za kimataifa na vyuo vikuu vijana kufunguliwa macho juu ya tawala kandamizi za kibaguzi, katili na vinazokandamiza utu wa watu na haki zao kwa kisingizio cha kujenga uchumi, madaraja, flyovers, mabwawa ya umeme n.k
 
kifupi yule mama hamna kitu,uwezo wake ni wa kawaida sana
 
Hizo zilikuwaga ndio strategy za Kikwete. Lakini kilichotokea ccm ndio ikapotezwa kabisa. Ndio maana wanaiba uchaguzi. CCM siyo wajinga. Wanajua kuwa hawatakiwi kabisa na wananchi. Halafu hata hawajui wafanye nini. Dawa ni kukubali tu kupokezana kama Zambia. Hakuna namna ingine
 
mwisho wa mbowe ni huu hamuwezi kushindana na huu ushahidi unamfunga mbowe ni gaidi
Mpaka sasa ushahidi ni mwepesi kama pamba,eti gaidi anapanga miti kuzuia magari.Youarw having a lough
 
Hii mambo hovyo kabisa!
Yaani hawa polisccm wanapohangaika na wapinzani huwa hawafuati hata sheria wanazozihubiri wao wenyewe!
Sio kosa na Haijawahi kuwa kosa kuhudhuria mahakamani kufuatilia open court, Tangu lini simu zikazuiwa mahakamani?
Yaani kivuli cha wale mabalozi wanaokuja kufuatilia hii kesi kinawapa shida sana!
 
CCM na Tanpol wanazidi kuweka wazi mashirikiano yao..

Wamezidi kuonesha walivyo weupe upstairs..

Wataficha sana ila ,justice will prevail..

Hizi fabricated charges zinazidi kufeli baada ya waliopewa script wameshindwa kucheza igizo kwenye zama za sayansi na teknolojia.

Tanpol wajitafakari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…