Huyo unayemwita mzalendo wako ndiye aliyeharibu mifumo ya vyombo vyetu vya usalama na kivigeuza kuwa vituko. Hata hii kesi ya aibu ya mbowe ni harakati za wanazi wa Magufuli kulipa kisasi kwa mbowe na kumharibia raisi samia.
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa

Sasa si uende ukaieleze Mahakama ni kifungu kipi cha Sheria kinachozuia mtu kuingia na simu.
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
weka kifungu cha sheria/kanuni
 
TOZONIA ya hovyo sn,kwanini watu wakataliwe kuingia mahakamani?,wakati kenya huwa wanarusha live luningani kesi zao.Hovyo kabisa, nchi ishaharibika kabisa hii.
Mambo ya haki ya mtu ndo uungu wa mtu ulipo maana Mungu ni haki na watu wenyekupata upendeleo wa Mungu kwenye maisha yao ni wale wanaotenda haki ndo maana unaona vyombo vya haki huko nje vinaruhusu mashitaka yafanyike kwa uwazi Ili wakati wa maamuzi watoa maamuzi wajiepushe na kukopa haki ya mtu na mikono yao iwe safi.
 
Law enforcers wanatuhimiza mara kwa mara "kutii sheria bila shuruti" lakini inapokuaja wao "kutii sheria bila shuruti" huwa wako nyuma. Kwa nini?
 
Palianda wamefikia hatua hii duuh!!
 
Naomba kujuzwa kama hii kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inasikilizwa kwa faragha au iko kwenye mahakama ya wazi.

Niko hapa Nairobi ndio maana nashindwa kuelewa.

Mungu ni mwema wakati wote!
In camera proceeding kwa amri ya mapolisi.Tanzania tumetawaliwa na ushenzi.
 
Mkuu kwani si mnapumua sasa baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
 
Baba yako angeporwa pesa zote huko benki ungefurahia?

Ccm wenyewe wamefurahia msiba au unajisahaulisha?

"Hizi ni baraka za mungu Mimi kuongoza nchi na baraka ikija tusiiache-samia suluh 2021"

Baraka=kufariki magufili
 
Bora huyu Buibui yule Chizi alikuwa na laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…