Anatoa taarifa za uongo!Una maanisha nini kumuita huyu mwandishi wa habari takataka? Nadhani pia mahakama unahusika sana tatizo iliingiliwa kimamlaka hivyo mawakili wa watuhumiwa pamoja na wasikilizaji wengine wakashinikiza kama kesi ipo mahakama ya wazi basi mazingira yaruhusu kesi izungumzwe kwa uhuru
Muitikio wa chanjo ya COVID-19 na uvaaji wa barakoa ulikuwa ni kipimo tosha kwa mama kuona kwamba ana kazi kubwa ya kufanya kwa wananchi na kutafuta uungwaji mkonoUgumu ni kwenye kutenganisha ili kuelewa ya kuwa mh raisi anahujumiwa kutokana na jinsi nchi inavyoendesha ili wamchonganishe na wananchi? au anawashauri wabovu mno wa siasa na uchumi...
Mahakama kama chombo kinachojiendesha kisheria hakiingiliwi na yeyote hivyo tatizo ni mahakama huyo kingai ni shahidi tuu hawezi kuingilia uhuru wa mahakama hata kama atatumia janjajanja mimi nitailaumu mahakama kwakushindwa kujisimamiaAnatoa taarifa za uongo!
Siwezi kumlaumu moja kwa moja. Inawezekana anayesoma taarifa ya habari si anayekuwa ameandika habari, au siyo?Mahakama kama chombo kinachojiendesha kisheria hakiingiliwi na yeyote hivyo tatizo ni mahakama huyo kingai ni shahidi tuu hawezi kuingilia uhuru wa mahakama hata kama atatumia janjajanja mimi nitailaumu mahakama kwakushindwa kujisimamia
mkuu mimi na wewe kama mshtaki na mshtakiwa hatuwezi kuingilia uhuru wa mahakama, wewe kama shahidi huwezi kuingilia uhuru wa mahakama athari hizi zilizotokea nikutokana na shahidi kuingilia uhuru huu wa mahakama sasa utamlaumu shahidi au utalaumu mahakama ambayo imeshindwa kujisimamia nakuja kutoa msimamo baadae?Siwezi kumlaumu moja kwa moja. Inawezekana anayesoma taarifa ya habari si anayekuwa ameandika habari, au siyo?
Na laana iko juu yenu maana Dkt Magufuli hakuwahi kushindwa jambo na hata mifupa yake haitashindwa maana mpaka sasa bila bila. Yaani ni sawa na Nyerere tu, yaani Lisu alijifanya mpaka leo yupo kwa mabasha wake.Mbona kila mtu aliusheherekea ule Mzoga hata bi Hangaya alifurahia kukwaa Bingo bila jasho.
Labda kama Chato hakuna Fisihata mifupa yake haitashindwa
Kilichotumika ni busara ya mahakamaEndapo mwalimu shuleni angekuwa akimuuliza swali mwanafunzi na mwanafunzi nae amuulize mwalimu sijui ingekuwaje, wewe umeuliza swli, jibu swali. iko wapi sheria inayokataza kuingia na simu mahakamani ?
Jana tu watu walikuwa wnaingia na simu, baada ya jamuhuri kuumbuliwa na kuzuiwa kumtumia shaidi wa uongo imekasirika na kuelekeza vidampa wao wazuie watu kuingia na simu, kama wanayoyafanya ni ya haki nini kinachowatia hofu?
Mahakama imeamuru wasikilizaji waingie lakini simu lazima ziwe zinazimwa mbona huelewi?The HALLMARKS of bad governance:
1. Arbitrariness
2. Ambiguity
3. Capriciousness
Sasa yuko wapi?Mnapoteza muda nyie wapinzani uchwara.
Ndio mana jiwe alikua anawabondabonda tu.
Gaidi mamakomwisho wa mbowe ni huu hamuwezi kushindana na huu ushahidi unamfunga mbowe ni gaidi