Kwa hiyo kama haizimwi kama unavyotaka kulazimisha kuwa unaacha kufutilia mwendo wa kesi unaipokea?
Ukipokea simu unaonea kwa sauti au unafanyaje usipitwe na kinachoendelea?
Kile unachokifanya hapo mahakamani wakati shughuli za mahakama zikiendelea haziwabughudhi wengine?
Je, kutuma kila kinachojiri hapo mahakamani wakati huo hakiingilii uhuru wa mahakama na kuwaelekeza mkondo upi wauchukue kufanya uamuzi bila kudhibiti hisia za maslahi binafsi?