Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Kwa hiyo mbowe anataka nchi isitawalike kwa kumdhuru Sabaya au ni kesi ya kete mbili za madawa ya kulevya? vikesi vingine ni aibu tupu
... walikuwa pia wamepanga kulaza magogo barabara ya Morogoro - Iringa! Ha ha ha!
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Aisee noma sana ila walishaachana kitambo

USSR
 
Unajua kuna mashtaka makuu na madogo au umbumbumbu tu unakususmbua

USSR
 
Humu tungekuwa tunasoma mabishano ya kisheria na kuweza kujifunza na kulitambua jeshi letu.matokeo yake tunasoma mipasho na vijembe.
 
Na kule upande wa pili Hangaya anahubiri demokrasia kwa wanawake wa shiishiiemuu, Only in Tanzania. Baadaye balozi zikifunga ofisi mnalalamika wakati hao ndio wanawapa hadi hela za ARV na Condoms, shame
Acknowledge source ya information,Ni uungwana tu
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Hee mtakatifu m/kiti wa kudumu alkua anakula mbususu ya viti maalum akimuacha mke waake?!
 
tatizo ni mwandika script amechemka na aliowapa kuisoma na kuicheza ndio wa la saba waliosifiwa. Ila wasivyo na aibu wako wanaoona hiyo ni kesi yenye mashiko na viuno wanaikatia 😀 😀
 
Kama sio mwanasheria, nenda kasome Sheria, upo vizuri kweli. Na Mimi nitasoma Sheria kwakua Nina mwanga mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…