Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Chadema ni taasisi sio mtu imamu wa msikiti akiwa gaidi huvunji msikiti wala kuufuta uislamu sembuse mwenyekiti wa Chadema

Makosa yake ni yake sio kutuhumu Chadema kama taasisi
Pole na wasalimie 🤣 🤣
 
wakuu fuatilieni hii kesi ndogo baada ya ile ya msingi kusimama kwa muda - ni tamu balaa!! njia ya mwongo huwa haifiki mbali.
... feedback inapatikana wapi? Humu JF naona maripota wametupotezea! Dah!
 
Ili kuokoa muda na gharama wampige maisha tu tuishi kwa amani, mbona yule mwingine walimrip dasta tu? Hakuna kubembeleza hawa watu fyekelea mbali
Mungu hadhihakiwi !!Unachomuombea ndugu yako kinatokea kwako !Usishangae ukapata ajali mbaya ya Leo au Kesho na ukawa mlemavu wa kudumu hali Mbowe akila Maisha.Kuna CCM mwenzako mtaani kwetu ana Cancer kisa uwakala wa shetani alikuwa anafanya
 
Kwani sio gaidi?
 
Ukisikia kesi ya kufinyanga ndo hii. Yaani Jeshi la polisi tunaloambiwa Lina wasomi kwa Sasa ndo limeandaa huu uhuni?
This is terrible...!

Hebu msikilize shahidi Afande Ramadhani Kingai akijaribu kuuthibitisha ugaidi mahakamani wa Mbowe na wenzake:

SHAHIDI AFANDE KINGAI: Vitendo hivi (nadhani vya kigaidi) vilikuwa vimepangwa kufanyika Moshi, Arusha, Mbeya, DSM na Mwanza

Note: Nadhani Kingai ana maana ya Mbowe na wenzake kulipua miji au mikoa hiyo yote kwa mabomu ya atomic na nyuklia na pia kutumia bastola yenye risasi 3...!!!!

Shahidi afande Kingai akaulizwa swali na akaendelea kusema:

SHAHIDI AFANDE KINGAI: Lakini vitendo vya kukata miti na kuzuia magari yasipite ilikuwa imekusudiwa barabara ya Morogoro kuelekea Iringa..!!

Thia is absolutely a joke from TanPol!!

Yaani mahakama inakubali kuchezewa na watu hawa...!!??

This is absurd and unforgivable...!!
 
Hayo yanawezekana tafuta kitabu cha kesi ya Hans pope na wenzake walivyotaka kumpindua Nyerere utagundua kitu
Unawapa elimu vilaza wa ufipa ,wapuuzi Sana hawajui hii nchi

USSR
 
This is terrible...!

Hebu msikilize shahidi Afande Ramadhani Kingai akijaribu kuuthibitisha ugaidi mahakamani wa Mbowe na wenzake:

SHAHIDI AFANDE KINGAI: Vitendo hivi (nadhani vya kigaidi) vilikuwa vimepangwa kufanyika Moshi, Arusha, Mbeya, DSM na Mwanza

Note: Nadhani Kingai ana maana ya Mbowe na wenzake kulipua miji au mikoa hiyo yote kwa mabomu ya atomic na nyuklia na pia kutumia bastola yenye risasi 3...!!!!

Shahidi afande Kingai akaulizwa swali na akaendelea kusema:

SHAHIDI AFANDE KINGAI: Lakini vitendo vya kukata miti na kuzuia magari yasipite ilikuwa imekusudiwa barabara ya Morogoro kuelekea Iringa..!!

Thia is absolutely a joke from TanPol!!

Yaani mahakama inakubali kuchezewa na watu hawa...!!??

This is absurd and unforgivable...!!
Pure civilian Kama wewe utajua nn mambo ya kupambana na ugaidi zaidi ya kuwaza tozo tu

USSR
 
Habari ndio hiyo kwa taarifa yako
Nilishakuambia pamoja na Elimu wewe utabaki kuwa maskini tu.Yaani pamoja na Master's degree bado unachangamana na kufikiri kama darasa la 7 kisa ugali wa CCM.Acha kutuaibisha wasomi.Siku Ile nilikushauri kitu achana na upumbavu huu nenda kasome tena upate PhD upate hela nzuri uache kuwa wakala wa shetani.Ukiendelea utapata laana pamoja na ELIMU yako utakufa maskini.
 
Ukifuatilia hao makomandoo wanatoka mikoa ya kusini ambako tuliona ugaidi ukiwa umepamba moto na Chadema kupitia Mbowe waliunga mkono sana harakati zile bungeni na press conference zao hata kuaga askari kibao waliouawa na magaidi hawakutokea kuaga

Mabalozi waweza anza ku connect dots. pia hao commando ni waislamu kama wale waliosumbua mikoa ya kusini na msumbiji
una uhakika na ulichokiandika???
 
Nilishakuambia pamoja na Elimu wewe utabaki kuwa maskini tu.Yaani pamoja na Master's degree bado unachangamana na kufikiri kama darasa la 7 kisa ugari wa CCM.Acha kutuaibisha wasomi.Siku Ile nilikushauri kitu achana na upumbavu huu nenda kasome tena upate PhD upate hela nzuri uache kuwa wakala wa shetani.Ukiendelea utapata laana pamoja na ELIMU yako utakufa maskini.
Laana na umaskini kwao ni sehemu ya ushujaa!!!
 
Kama Mungu aishiivyo.Acha kutafuta laana acha kuwa wakala wa shetani.CCM haitakuwepo ukipata laana magonjwa mazito ni mikosi Kwa sababu ya ulimi.CCM haitakuwepo Kwenye hukumu ya Mwisho.CCM ni ya muda huu ambao anakula na kumywa Kwa uwakala huu
Gaidi ni risasi tu
Ulikuwa wapu akiuwawa hamza?
Au yule sio mutu?
 
Hii kesi ilivyopigwa kelele nilijua Serikali imejipanga na mashahidi wa ukweli na kesi ipo kumbe utoporo tu Nchi hii sijui nani katuroga shahidi anakumbushwa na jaji wewe ndio ulitakiwa ulipoti kwake na hilo eneo ni RAU au ...kazi ipo kwa kweli kwa vitu vya kuunga unga..
 
Back
Top Bottom