ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Uhai wa CHADEMA ndio haswa mnasaka kwa hali na mali, kuumaliza.Aiyeshitakiwa Mbowe wewe unaiingizaje Chadema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhai wa CHADEMA ndio haswa mnasaka kwa hali na mali, kuumaliza.Aiyeshitakiwa Mbowe wewe unaiingizaje Chadema?
Chadema ni taasisi sio mtu imamu wa msikiti akiwa gaidi huvunji msikiti wala kuufuta uislamu sembuse mwenyekiti wa ChademaUhai wa CHADEMA ndio haswa mnasaka kwa hali na mali, kuumaliza.
Kesi hii ingekuwa tamu kama hao wa kupanga magogo wangesubiriwa wakati wanayapanga wawekewe ambush wakamatwe live!... walikuwa pia wamepanga kulaza magogo barabara ya Morogoro - Iringa! Ha ha ha!
Pole na wasalimie 🤣 🤣Chadema ni taasisi sio mtu imamu wa msikiti akiwa gaidi huvunji msikiti wala kuufuta uislamu sembuse mwenyekiti wa Chadema
Makosa yake ni yake sio kutuhumu Chadema kama taasisi
... feedback inapatikana wapi? Humu JF naona maripota wametupotezea! Dah!wakuu fuatilieni hii kesi ndogo baada ya ile ya msingi kusimama kwa muda - ni tamu balaa!! njia ya mwongo huwa haifiki mbali.
Mungu hadhihakiwi !!Unachomuombea ndugu yako kinatokea kwako !Usishangae ukapata ajali mbaya ya Leo au Kesho na ukawa mlemavu wa kudumu hali Mbowe akila Maisha.Kuna CCM mwenzako mtaani kwetu ana Cancer kisa uwakala wa shetani alikuwa anafanyaIli kuokoa muda na gharama wampige maisha tu tuishi kwa amani, mbona yule mwingine walimrip dasta tu? Hakuna kubembeleza hawa watu fyekelea mbali
Kwani sio gaidi?Mungu hadhihakiwi !!Unachomuombea ndugu yako kinatokea kwako !Usishangae ukapata ajali mbaya ya Leo au Kesho na ukawa mlemavu wa kudumu hali Mbowe akila Maisha.Kuna CCM mwenzako mtaani kwetu ana Cancer kisa uwakala wa shetani alikuwa anafanya
Yaani natafuta kweli taarifa ya hiyo kesi ndogo. Ukipata nitag... feedback inapatikana wapi? Humu JF naona maripota wametupotezea! Dah!
This is terrible...!Ukisikia kesi ya kufinyanga ndo hii. Yaani Jeshi la polisi tunaloambiwa Lina wasomi kwa Sasa ndo limeandaa huu uhuni?
Unawapa elimu vilaza wa ufipa ,wapuuzi Sana hawajui hii nchiHayo yanawezekana tafuta kitabu cha kesi ya Hans pope na wenzake walivyotaka kumpindua Nyerere utagundua kitu
Pure civilian Kama wewe utajua nn mambo ya kupambana na ugaidi zaidi ya kuwaza tozo tuThis is terrible...!
Hebu msikilize shahidi Afande Ramadhani Kingai akijaribu kuuthibitisha ugaidi mahakamani wa Mbowe na wenzake:
SHAHIDI AFANDE KINGAI: Vitendo hivi (nadhani vya kigaidi) vilikuwa vimepangwa kufanyika Moshi, Arusha, Mbeya, DSM na Mwanza
Note: Nadhani Kingai ana maana ya Mbowe na wenzake kulipua miji au mikoa hiyo yote kwa mabomu ya atomic na nyuklia na pia kutumia bastola yenye risasi 3...!!!!
Shahidi afande Kingai akaulizwa swali na akaendelea kusema:
SHAHIDI AFANDE KINGAI: Lakini vitendo vya kukata miti na kuzuia magari yasipite ilikuwa imekusudiwa barabara ya Morogoro kuelekea Iringa..!!
Thia is absolutely a joke from TanPol!!
Yaani mahakama inakubali kuchezewa na watu hawa...!!??
This is absurd and unforgivable...!!
alisha chomoa kitambo kilicho baki ni danadana namna mahakimu kuweka tu upepo sawa kwa dola yaani bosi hangayaHuyu jamaa akichomoa hii kesi anapaswa kwenda kutambika!
Nilishakuambia pamoja na Elimu wewe utabaki kuwa maskini tu.Yaani pamoja na Master's degree bado unachangamana na kufikiri kama darasa la 7 kisa ugali wa CCM.Acha kutuaibisha wasomi.Siku Ile nilikushauri kitu achana na upumbavu huu nenda kasome tena upate PhD upate hela nzuri uache kuwa wakala wa shetani.Ukiendelea utapata laana pamoja na ELIMU yako utakufa maskini.Habari ndio hiyo kwa taarifa yako
una uhakika na ulichokiandika???Ukifuatilia hao makomandoo wanatoka mikoa ya kusini ambako tuliona ugaidi ukiwa umepamba moto na Chadema kupitia Mbowe waliunga mkono sana harakati zile bungeni na press conference zao hata kuaga askari kibao waliouawa na magaidi hawakutokea kuaga
Mabalozi waweza anza ku connect dots. pia hao commando ni waislamu kama wale waliosumbua mikoa ya kusini na msumbiji
Kama Mungu aishiivyo.Acha kutafuta laana acha kuwa wakala wa shetani.CCM haitakuwepo ukipata laana magonjwa mazito ni mikosi Kwa sababu ya ulimi.CCM haitakuwepo Kwenye hukumu ya Mwisho.CCM ni ya muda huu ambao anakula na kumywa Kwa uwakala huuKwani sio gaidi?
Laana na umaskini kwao ni sehemu ya ushujaa!!!Nilishakuambia pamoja na Elimu wewe utabaki kuwa maskini tu.Yaani pamoja na Master's degree bado unachangamana na kufikiri kama darasa la 7 kisa ugari wa CCM.Acha kutuaibisha wasomi.Siku Ile nilikushauri kitu achana na upumbavu huu nenda kasome tena upate PhD upate hela nzuri uache kuwa wakala wa shetani.Ukiendelea utapata laana pamoja na ELIMU yako utakufa maskini.
Gaidi ni risasi tuKama Mungu aishiivyo.Acha kutafuta laana acha kuwa wakala wa shetani.CCM haitakuwepo ukipata laana magonjwa mazito ni mikosi Kwa sababu ya ulimi.CCM haitakuwepo Kwenye hukumu ya Mwisho.CCM ni ya muda huu ambao anakula na kumywa Kwa uwakala huu
Ivi kutenda kosa kwa kujuwa na kwa kutojuwa nako si kosa?Jaji anamkumbusha umekosea hukuambiwa hivo bado shahidi hakuelewa ..
Kama nimekuelewa,alisema ulipoti kwake?ndiyoo kesi imeishaaaaa
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app