Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Hii kesi DPP aiangalie kwa mapana zaidi ikiwezekana aonyeshe nia ya kutoendelea nayo.

Mawakili wa utetezi katika maswali yao kwa shahidi ACP yameonyesha ni kwa namna gani kesi hii inasukumwa tu kisiasa na kwa lengo la kudhoofisha Demokrasia ya nchi hii.

Inatuchafua kama nchi hasa ushahidi kama ni huu uliotolewa leo na Afande huyu wa Jeshi la Polisi.
 
Screenshot_20210915-195945.png
 
Kibatala anamfuata usoni kwake shahidi Kwa Kumkazia macho anamuuliza, Je unafahamau Kuwa mshtakiwa Adamoo anashtakiwa makosa matano na moja la kula njama za ugaidi?

Shahidi: Mheshimiwa Jaji Mimi siye ninaye andaa Mashtaka, Wanaoandaa ni Ofisi ya Mwendesha Mashitaka, mheshimiwa
Kibatala: statement yako wanashitakiwa kwa maelezo uliyowaonya?

Wakili wa Serikali: OBJECTION. Mh. jaji wakili anatoa speech sana

Jaji :Jamani tumpatie shahidi hata Dakika 2 Jamani, pale Kizimbani Si Mchezo

Shahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO

Jaji: uende lakini urudi

Mahakama yote inacheka
Mimi mwenyewe nimecheka ninacheka ,hakikisha unarudi anabahati our the president yuko ubeligiji mbona wangekoma

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Nionyeshe mwanamme mmoja tu asiye cheat na Mimi nitakuonyesha wanawake wawili walioolewa na Wana watoto lkn Ni mabikira
 
ACP au shahidi mwingine? [emoji16]!

Nimeona clip Kibatala akiingia hapo kortini na mabegi ya kuvuta kama anasafiri nikajua mbwembwe tu za mawakili kama ilivyokuwa Kwa Jerry Slaa juzi kwenye wito wa kamati ya maadili.[emoji16].

Kumbe "kazi kazi"
Mlugulu msomi nambamoja katika ubora wake

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ninasema laana ndo imesababisha hii kesi impate. Tunaongelea Mbowe. Mimi naingiaje hapa ?
Laana ni fikra za kimaskini sana kwa watu ambao hawajajikwamua kiuchumi

Familia zilizopiga hatua kiuchumi na kusoma hakuna mawazo ya laana

Kila wakati watu ambao wana maisha màgumu na Uchumi haupo sawa wanawaza mambo ya uchawi, laana na kurogwa

Ukipiga hatua mbele kwa kufanya kazi kwa bidii na nidhamu, Unakuwa na aina ya marafiki ambao hata siku moja hutasikia wakiongelea laana na vituko

Kuachana Katika ndoa ni kitu cha kawaida sana

Mfano umeoa mke anataka umle nyuma yaani kwenye makalio na wewe hukujua hayo. Utakubali kila siku unuse mavi ya mkeo maisha yako yote

Watu wana achana kwa mambo mengi hawawezi ongea mbele za watu ni aibu
 
Yeye mwenyewe kaachwa Mara kadhaa, unadhani anajitambua? Hapo alipo ni Nungayembe lililokubuhu,
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Fanatisim is a straight jacket.
 
Back
Top Bottom