Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

1.) Kwenye kesi ndogo hakuna asiye fahamu Jaji aliye iamua hiyo kesi, alikuwa ameshapewa rushwa ya madaraka na aliye washitaki watuhumiwa.
2.) Kwenye pingamizi la jana, Mawakili wa utetezi walikuwa wako sahihi pia kwa mtazamo wao, maana shahidi aliletwa katika mazingira ya usiri kwa lengo la kuepukana na fedheha ya kuulizwa maswali magumu kama ilivyo tokea kwa mashahidi wenzake walio mtangulia.

Lakini baada ya ufafanuzi, wote walikubaliana kwa hoja, na shahidi akapigwa maswali ya kutosha tu na kama kawaida! Ameishia tu kujichanganya kwenye maelezo yake.

Ikumbukwe kwenye mapingamizi ni uamzi (hukumu) wala si ufafanuzi. Uamuzi wa Jaji ukishatoka iwe umeridhika au hujaridhika ndiyo basi hadi mwisho wa kesi ya msingi.

Kutumia neno ufafanuzi itakuwa ni kusema kwa kumnanga jaji huku ukimwangilia usoni.
 
Kibatala na timu yake wako shallow mno ndiyo maana wanahangaika na trivial na irrelevant matters za kufurahisha genge badala ya kupangua issues
Sasa na wewe bush lawyer mbona unaongea tu bila kutuambia ulitaka apangeje hizo issues kama kweli kuna unachokijua.
 
Mda na gharama za kupambana na mbowe at the watashindwa tu kama alivyoshindwa magu kwann wasiutumie kufikiria vitu vya maana na tija kwa taifa,mfano tatizo la machinga,ajira nchini nk.
 
Sasa na wewe bush lawyer mbona unaongea tu bila kutuambia ulitaka apangeje hizo issues kama kweli kuna unachokijua.
wanajaza booklet tu hakuna point zozote kwenye maswali yao- bure kabisa
 
Tofautisha hati ya mashtaka kubadilishwa na kilichotokea kwenye kesi hii.

Hati ya mashtaka ilithibitishwa kuwa ni batili kwenye pingamizi.

Hati ya mashtaka ikatupwa.

Washitakiwa wakarudishwa gerezani kinyume cha sheria.

Mgeni mahakamani ni wewe mjomba!
unaposema washitakiwa walirudishwa mahakamani kinyume na sheria, ni kwamba prosecution walikiuka sheria gani walipowarudisha mahakamani? na una maana sheria haiwaruhusu? funguka mzoefu wa mahakamani.
 
unaposema washitakiwa walirudishwa mahakamani kinyume na sheria, ni kwamba prosecution walikiuka sheria gani walipowarudisha mahakamani? na una maana sheria haiwaruhusu? funguka mzoefu wa mahakamani.

Umejiridhisha na usahihi wa nukuu zako au ni kukurupuka tu?

IMG_20211105_201716_413.jpg
 
wanajaza booklet tu hakuna point zozote kwenye maswali yao- bure kabisa
Wewe kaa kimya hayo hayakuhusu na hakuna unachokijua kwenye mambo ya sheria, hao ndio wakili wasomi sasa hata hatukujui labda hata ni mshona viatu tu.
 
Wewe kaa kimya hayo hayakuhusu na hakuna unachokijua kwenye mambo ya sheria, hao ndio wakili wasomi sasa hata hatukujui labda hata ni mshona viatu tu.
Niskilize Kibatala hakuna kitu
 
Wewe kaa kimya hayo hayakuhusu na hakuna unachokijua kwenye mambo ya sheria, hao ndio wakili wasomi sasa hata hatukujui labda hata ni mshona viatu tu.
Niskilize Kibatala hakuna kitu
Kwa hiyo unataka wakuajiri wewe. Naona wewe ni "Layman", hujui kabisa yanayoendelea kwenye hiyo fani, afadhali unyamaze tu.
Wakili kama Kibatala hata kama nikiwa Bubu kheri na nitajitetea mwenyewe
 
Back
Top Bottom