Yule Mwanasheria wa Airtel bado kawatilia ngumu ama watamlazimisha atoe ushahidi ili wasimbambikizie kesi na yeye!
So far katika hao mashahidi 5 sijaona shahidi hata mmoja ambaye katoa ushahidi wake ambao umejitosheleza kiasi cha kuifanya mahakama ijiridhishe pasi na shaka mwamba Mbowe alitenda kosa alichilia mbali huo Ugaidi.
Karibia wote hao wameacha maswali mengi kwa Mahakama kuliko majibu, kuna gaps nyingi na sheria hazikufuatwa - kumbuka Mahakama inamtia mtu hatiani kwa kutumia Sheria na si porojo kama zile za muuza mbege na mwanasheria wa Tigo.